Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Kila binadamu ana kusudio lake la kuwepo hapa duniani,
Ili kulitimiza neno la Mungu.. na kulitambua hilo kusudi bado ni mtihani kwa walio wengi jpokua wengine wanajua na wanatimiza 🤙
 
e

Kuna mungu wengi,wa kihindi,wa budha nk umekusudia gani mkuu?
Kama ELIMU vile ilivyo ya kila aina chemisry,biology,math nk.

Elimu nilokusudia ni Elimu ya dini mkuu na mungu nilikusudia ni Mungu muumba wa mbingu na ardhi mkuu.
Dini ni utaratibu aufatao kiumbe kilicho hai katika maisha ya kila siku.Bila ya dini huwezi kumjua Mungu yupi unaeabudia.
Na kuabudia hakuwezi kukafanywa kwa maagizo bali ni kwa kupata Muongozo wa huyo unaemuabudia.
Huo muongozo ndo Elimu yenyewe mkuu.

Mkuu bila utaratibu sahahi wa kuufata ni kufanya yale anayoyafanya mnyama.Mnyama ni kukidhi tu matamanio,yakimjia tu.Kwa mfano mnyama anakula huku anatembea,anafanya haja huku anatembea kwa baadhi yao,anaingilia na mnyama mwenziwe hadharani na wala hachelei kuonekana,pia huweza kumuua hata mwanawe kwa unyama wake alionao.

Kuzaliwa bila kujua chochote ni utaratibu wa Mungu aliopanga na ikitokezea mtoto mchanga kujua kusoma na kuandika inakua ni miujiza si kawaida ya kila siku.Hakuna utarstibu wowote wa binadamu atakaoufanya kumfanya kiumbe alizaliwa hapo hapo kujua kusoma na kuandika.
Mkuu binadamu anapenda kujadili aonekana hayuko nyuma,ila kwa undani hasa anatumia uzoefu wa kimaumbile uliopitikiwa na muda mpaka kuutumia.

Kumradhi kama nimekukwaza.
asant mkuu
 
Tangu binadamu aanze kuwepo hapa duniani, inasemekana idadi ya watu ambao wameshazaliwa na kufa mpaka sasa ni zaidi ya watu bilioni 108. Hawa wote walizaliwa, wakakua, wakazaliana na mwisho nao wakafa. Katika wakati huo wote dunia imeendelea kubaki vile vile haijabadilika.
Mimi nafikiri dhumuni la kuwepo hapa duniani ni kuishi na kuzaliana. Hayo mengine ni njia ya kupeana moyo tuu lakini sioni kama yana uhalisia wowote. Sidhani kama kuna kiumbe chochote kimetuweka hapa duniani ili tukitumikie maana katika kuishi kwetu hakuna tunachokitumikia zaidi ya kutafuta mahitaji yetu wenyewe. Sioni huyo alietuweka hapa (kama yupo) anafaidika vipi na uwepo wetu? Hayo ni maoni yangu.
 
ila mkuu kwakini ukitumia kama jina layesu magonjwa au mapepo yanatoka ?.su niimani yako tu

Ninakusudia mungu unae mjua wewe, awe mungu Beyonce,allah, yehova, mungu ng'ombe(wahindu),yahwe, mti, pango, mto...

Unajua hujaeleza ni kwa namna hipi mungu aitaji elimu kumeulewa?.

Huyo mungu hajui kuwa kuna watu ambao hawajui kusoma na kuandika?.

Si mnasema ana uwezo wote, ni kwanini ashindwe jambo dogo namna hii la kumuwekea program kiumbe wake ili amjue automatically bila kuhitaji elimu?.

Hivi hujui kuwa hivyo vitabu vyenu vina makosa mengi ambayo hata Shigongo hawezi ruhusu makosa hayo kuwepo kwenye hadithi zake?.

Nope:

Husiniambie elimu ya dini.
Kama ni elimu ya dini, wewe mmatumbi dini umeipata na kuijua juz juzi tu, tena imeletwa na wakoroni wako walio wauza babu zako kama wanauza kuku mnadani.

Sasa unapotaka kuniambia elimu ya dini ndiyo inayohitajika ilhali babu zako hawakuipata hiyo elimu, b'coz wakati elimu ya dini inakuja huku kwetu babu zako walikuwa wapo mnadani wakiuzwa na hao hao ambao leo hii wanakuhubiria huyo mungu mwenye upendo wote.

Kwa muktadha huo unamaanisha babu zako wapo jehanamu b'coz elimu ya dini hawakuipata.

Unasema elimu ya dini ni kwa kila kiumbe hai, niambie ni lini na wapi umewai kuta twiga, tembo, nyati n.k wakiwa mkutano wa injiri/maombi?.

Hao nao ni viumbe hai.

Au wewe unapongelea viumbe hai unamaanisha nini?.
 
ila mkuu kwakini ukitumia kama jina layesu magonjwa au mapepo yanatoka ?.su niimani yako tu

Mkuu ukishaingiza neno IMANI kwenye mjadala kama huu basi mjadala unaishia hapo hapo kutakua hakuna cha kujadili tena
 
Mimi kufa hakuthibitishi uwepo wa mungu bali kuna thibitisha kuwa mungu hayupo.

Mungu muweza wa yote, mwenye upendo wote angelikuwepo kifo kisingelikuwepo.

Kwahiyo kifo hakithibitishi kuwa mungu yupo, bali hayupo.

Halafu kifo sio jambo la pekee kwa mwanadamu, kifo ni mchakato wa kila kiumbe hai, miti, wadudu, wanyama hadi nyota zinazaliwa na zinakufa.
Subiri cku utakapokutana nae umwambie,Wewe haupo.

mungu hayupo ila MUNGU yupo
 
Usinitishe, na sitishiki.

Huwezi kunitisha kwa kitu unachoamini kipo.
Unaamini kipo kwa sababu hujui kuwa kipo.

Ungelikuwa unajua kuwa kipo usingelikuwa unaamini.
Kuamini ni kuwa na mashaka, na" UKIJUA" hiyo siyo imani tena.
tapatalk_1556264037784.jpeg
 
Usinitishe, na sitishiki.

Huwezi kunitisha kwa kitu unachoamini kipo.
Unaamini kipo kwa sababu hujui kuwa kipo.

Ungelikuwa unajua kuwa kipo usingelikuwa unaamini.
Kuamini ni kuwa na mashaka, na" UKIJUA" hiyo siyo imani tena. View attachment 1108377
Ha ha haaa,umetishwaje sasa hapo,wewe endelea kuamini unachoamini,it is over!..
 
Ulichokiandika hapo juu kinaviashiria vya vitisho labda unaandika bila kushirikisha ubongo ndiyo maana hujaliona hilo.

Ni wapi nimesema mi mfuasi wa imani fulani?.

Hilo umelitoa wapi?.

Mimi nikikutana na huyu mungu, nitamhukumu kwa unyanyasaji wa viumbe wake wakati anauwezo wote.

Mungu. Wenye upendo wote na uwezo wote ni..

Kwanini ameshindwa sence of justice na binadam ambao hawana upendo na uwezo wote?.

Leo wazungu wanakuletea net bure ili umbu wasikung'ate na kupatwa na maleria, wanafanya hivyo koz wanatuhurumia binadmu wenzao.

Lakin mungu mwenye uwezo wote na upendo wote hataki kujishughulisha na sisi.

Wewe endelea kuamini tu.
Katiba inakuruhusu kuamini chochote, kuna watu wanaamini Beyonce ni mungu.
 
Sawa sawa,hata ukiamini beyonce au alikiba ni mungu katiba haijakukataza wewe endelea kuamini tu mkuu,hakuna tatizo hapo !..
 
Kwanza unapaswa kutambua tuliumbwa ili tuishi milele duniani!!!!
Tufurahie maisha
Unajua kilichotokea
 
Back
Top Bottom