e
You are absolutely wrong my friend.
Kwanini mungu aitaji elimu kumuelewa as if unajifunza chemistry?.
Kwanini hasingeliweka mfumo wa mtu kumuelewa automatically bila kuhitaji elimu?.
Hujui hadi sasa kuna watu % fulani hawajui kusoma wala kuandika, hao watu mungu kawaweka kundi gani?.
Ni elimu hipi kusudiwa hapa?.
Itaje hiyo elim hapa, uenda mimi ndiyo sijakuelewa elimu unayomaanisha wewe.
Iweje mungu aitaji elimu kumuelewa wakti amekuumba hukiwa hujui kusoma wala kuandika?.
Kwahiyo babu yko kizaa babu yko yuko jehanam, kwasababu amekufa bila kupata elimu?.
Kuna mungu wengi,wa kihindi,wa budha nk umekusudia gani mkuu?
Kama ELIMU vile ilivyo ya kila aina chemisry,biology,math nk.
Elimu nilokusudia ni Elimu ya dini mkuu na mungu nilikusudia ni Mungu muumba wa mbingu na ardhi mkuu.
Dini ni utaratibu aufatao kiumbe kilicho hai katika maisha ya kila siku.Bila ya dini huwezi kumjua Mungu yupi unaeabudia.
Na kuabudia hakuwezi kukafanywa kwa maagizo bali ni kwa kupata Muongozo wa huyo unaemuabudia.
Huo muongozo ndo Elimu yenyewe mkuu.
Mkuu bila utaratibu sahahi wa kuufata ni kufanya yale anayoyafanya mnyama.Mnyama ni kukidhi tu matamanio,yakimjia tu.Kwa mfano mnyama anakula huku anatembea,anafanya haja huku anatembea kwa baadhi yao,anaingilia na mnyama mwenziwe hadharani na wala hachelei kuonekana,pia huweza kumuua hata mwanawe kwa unyama wake alionao.
Kuzaliwa bila kujua chochote ni utaratibu wa Mungu aliopanga na ikitokezea mtoto mchanga kujua kusoma na kuandika inakua ni miujiza si kawaida ya kila siku.Hakuna utarstibu wowote wa binadamu atakaoufanya kumfanya kiumbe alizaliwa hapo hapo kujua kusoma na kuandika.
Mkuu binadamu anapenda kujadili aonekana hayuko nyuma,ila kwa undani hasa anatumia uzoefu wa kimaumbile uliopitikiwa na muda mpaka kuutumia.
Kumradhi kama nimekukwaza.