Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Ukianza kujiuliza maswali kama haya tambua kwamba your inner self (spirit) is awakening! Kwa faida zaidi unaweza kugoogle kitu kinaitwa spiritual awakening na spiritual path utapata majibu yako yote.
 
Ukianza kujiuliza maswali kama haya tambua kwamba your inner self (spirit) is awakening! Kwa faida zaidi unaweza kugoogle kitu kinaitwa spiritual awakening na spiritual path utapata majibu yako yote.
shukran mkuu
 
shukran mkuu
When we undergo a spiritual awakening, we literally “wake up” to life. We begin to question our old beliefs, habits, and social conditioning, and see that there is much more to life than what we have been taught.

It is common to ask questions such as, “Why am I here?” “What is the purpose of my life?” “What happens after death?” “Why do good people suffer?” and other questions that examine the fundamental nature of life during your awakening. Spiritual awakenings stir the deepest and most significant questions within us that we have been putting off asking or have been too scared to touch.

If you’ve experienced a spiritual awakening, you might crave to find the meaning of your life and whether there is a “higher state” of being. Searching for God, or for the Divine, is a common desire during this experience.

Spiritual Awakening
 
Unauliza swali kuhusu uumbaji then unataka majibu yasi-base kwenye dini kwamba watu watoe mitazamo yao isiyo na maana | post batiri na haina weredi.
 
Kisicho kuwepo huwezi kukithibitisha kuwepo kwake kwakuwa hakipo kwa hivyo mtu anayesema kitu kipo ndio anatakiwa athibitishe kuwepo kwake
Mimi nikisema Wickson yupo ? Jibu atajitokeza Wickson na atasema nipo au atatoa uthibitisho wa uwepo wake kwa jambo lolote
Wewe unasema hayupo na wengine wanasema yupo,sasa ukweli wa madai yenu tutaupata vp? kama wewe unayedai kuwa hayupo unasema hauwezi kuthibitisha na anayedai kuwa yupo hataki kuthibitisha? Je,wewe kusema kwako tu kuwa hayupo ndio inakuwa kweli hayupo kisa tu anayesema yupo hataki kuthibitisha?

Iweje kila mmoja kati yenu ana madai yake tofauti na mwenzie ila kwenye kuthibitisha hayo madai wewe umtegemee mwenzio? kwa sababu mwenye kudai yupo akikataa kuthibitisha itakuwa amekataa kuthibitisha madai hivyo itabaki kuwa anachokidai inawezekana kikawa si kweli au ni kweli kwa sababu hajathibitisha,sasa je wewe unayedai hayupo tuyachukuliaje madai yako?
 
Usinitishe, na sitishiki.
Huwezi kunitisha kwa kitu unachoamini kipo.
Unaamini kipo kwa sababu hujui kuwa kipo.
Ungelikuwa unajua kuwa kipo usingelikuwa unaamini.
Kuamini ni kuwa na mashaka, na" UKIJUA" hiyo siyo imani tena. View attachment 1108377
Navyojua kuwa na mashaka au kutokuwa na mashaka hakuhusiani na ukweli,unaweza kuwa na mashaka juu ya jambo fulani ila matokeo yakawa hilo ni la kweli pamoja na kwamba ulikuwa na mashaka na kinyume chake vilevile. Mashaka ni hali ya kuwa na wasiwasi,hivyo wapo wenye kuamini kwa mashaka na wenye kuamini pasina na mashaka na bado zote ni imani.
 
Tangu binadamu aanze kuwepo hapa duniani, inasemekana idadi ya watu ambao wameshazaliwa na kufa mpaka sasa ni zaidi ya watu bilioni 108. Hawa wote walizaliwa, wakakua, wakazaliana na mwisho nao wakafa. Katika wakati huo wote dunia imeendelea kubaki vile vile haijabadilika.
Mimi nafikiri dhumuni la kuwepo hapa duniani ni kuishi na kuzaliana. Hayo mengine ni njia ya kupeana moyo tuu lakini sioni kama yana uhalisia wowote. Sidhani kama kuna kiumbe chochote kimetuweka hapa duniani ili tukitumikie maana katika kuishi kwetu hakuna tunachokitumikia zaidi ya kutafuta mahitaji yetu wenyewe. Sioni huyo alietuweka hapa (kama yupo) anafaidika vipi na uwepo wetu? Hayo ni maoni yangu.
Sasa mkuu ulichokieleza kina uhalisia upi maana wewe umeeleza mambo tunayo experience hapa duniani ila hiyo inaweza isiwe lengo,. Mfano simu siku hizi zina piga picha,zina radio,zina rekodi na mambo mengi ila lengo la kinachoitwa simu ni mawasiliano.
 
Sababu kubwa ya kuishi hapa duniani ni kumtukuza Mungu tu soma Biblia mwanzo 2:7-23 Mungu akamuweka mwanadamu ktk bustani ya eden mwanzo 2:8
Mimi kama mtu nisiyekuwa na maarifa ya kutoelewa sababu za kuja kuishi hapa duniani, lakini sababu kubwa ya kuishi hapa duniani sio kuwa na nyumba, magari, pesa au heshima, nahitaji kutambua tukiachana navitabu vya kidini

1. hivi nini kusudi la kuishi hapa duniani ?

Mimi nimekuwa nikiona watu wakizaliwa wanakuwa wanazaa na muda ukifika anakufa. Je, sisi maisha yetu ni kama hawa wanyama kwamba tunaishi tu badae tukifa tunakuwa hatukuwepo, maana yake hapo hakuna faida ya maisha ?

Kwenu wajuzi .
M
 
Wewe unasema hayupo na wengine wanasema yupo,sasa ukweli wa madai yenu tutaupata vp? kama wewe unayedai kuwa hayupo unasema hauwezi kuthibitisha na anayedai kuwa yupo hataki kuthibitisha? Je,wewe kusema kwako tu kuwa hayupo ndio inakuwa kweli hayupo kisa tu anayesema yupo hataki kuthibitisha?

Iweje kila mmoja kati yenu ana madai yake tofauti na mwenzie ila kwenye kuthibitisha hayo madai wewe umtegemee mwenzio? kwa sababu mwenye kudai yupo akikataa kuthibitisha itakuwa amekataa kuthibitisha madai hivyo itabaki kuwa anachokidai inawezekana kikawa si kweli au ni kweli kwa sababu hajathibitisha,sasa je wewe unayedai hayupo tuyachukuliaje madai yako?

Mimi nasema hayupo kwakuwa hayupo pili hayupo kwakuwa hawezi kujithibitisha mwenyewe mpk watu wamsemee

Siku zote jambo ambalo lipo huitaji kutumia nguvu kulithibitisha kama lipo litajibitisha lenyewe kwa njia yoyote vile

Kisichokuwepo hakithibitiki huwezi kukithibitisha kwakuwa hakipo yule anaesema kipo ndio anatakiwa aseme na atoe uthibitisho kama kipo

Stori za mungu ni kama hadithi za mazimwi tu
 
Mimi kama mtu nisiyekuwa na maarifa ya kutoelewa sababu za kuja kuishi hapa duniani, lakini sababu kubwa ya kuishi hapa duniani sio kuwa na nyumba, magari, pesa au heshima, nahitaji kutambua tukiachana navitabu vya kidini

1. hivi nini kusudi la kuishi hapa duniani ?

Mimi nimekuwa nikiona watu wakizaliwa wanakuwa wanazaa na muda ukifika anakufa. Je, sisi maisha yetu ni kama hawa wanyama kwamba tunaishi tu badae tukifa tunakuwa hatukuwepo, maana yake hapo hakuna faida ya maisha ?

Kwenu wajuzi .
Umesema tuweke kando vitabu vya dini.
Tayar hapo umejifunga huwezi kamwe kupata jibu sahihi la swali lako
 
Mimi nasema hayupo kwakuwa hayupo pili hayupo kwakuwa hawezi kujithibitisha mwenyewe mpk watu wamsemee
Siku zote jambo ambalo lipo huitaji kutumia nguvu kulithibitisha kama lipo litajibitisha lenyewe kwa njia yoyote vile
Kisichokuwepo hakithibitiki huwezi kukithibitisha kwakuwa hakipo yule anaesema kipo ndio anatakiwa aseme na atoe uthibitisho kama kipo
Stori za mungu ni kama hadithi za mazimwi tu
Mimi nazungumzia kuhusu madai yenu kwamba wewe unadai hayupo na wengine wanadai yupo,utasemaje ajithibitishe mwenyewe wakati nyie ndio wenye kudai yupo/hayupo? mie nazungumzia kuhusu uthibitisho wa mnachokidai.

Usingedai hayupo hakuna ambaye angekwambia uthibitisho chochote maana huna ulichodai ila ukileta madai ya jambo kuthibitisha hayo madai lazima kuwepo tu.
 
anaesema kuwa kuna mwisho wa dunia/kihama huyo ukikutana naye mpige hata ngumi kama inawezekana.. tupo dunia kama jinsi mti wa muembe unavyotoa maembe kila msimu na kisha maembe huisha na mti hutengeneza matunda mengine msimu ujao...
 
Hayo unayoyaeleza ya mti wa muembe kuwa sawa na sie kwamba tunazaliana na mwisho hufa na kuzaliwa wengine hayo wote tunayajua,swali ni je ni kipi kinakufanya useme hilo ndio lengo la sie kuwa hapa duniani? Maisha yetu yana mambo mengi tu kuzaliwa na kufa ni moja wapo wa hivyo vitu sasa ni sababu zipi zilizokufanya uchague suala kuzaliwa na kufa ndio useme ndio lengo?
 
Back
Top Bottom