Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Mimi nazungumzia kuhusu madai yenu kwamba wewe unadai hayupo na wengine wanadai yupo,utasemaje ajithibitishe mwenyewe wakati nyie ndio wenye kudai yupo/hayupo? mie nazungumzia kuhusu uthibitisho wa mnachokidai.
Usingedai hayupo hakuna ambaye angekwambia uthibitisho chochote maana huna ulichodai ila ukileta madai ya jambo kuthibitisha hayo madai lazima kuwepo tu.
Labda nijue ww upo upande gani yupo au hayupo ili nipate kukuelewa vizuri