Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Mimi inaniwia ngumu kujibu, umeni-limit kwamba tukiachana na sababu za kidini. Mimi nimefundishwa sababu za kuishi duniani kwa mtizamo wa kidini na nikaamua kukubaliana na mtizamo huo.

Kwa hiyo kama hutaki mtizamo huo itabidi tuwaachie wasio na mtizamo huo waje watupe majibu
 
sawa mkuu

Mkuu hakuna sababu general..
Ukizaliwa unatafuta yako. Wengine wanaona wamezaliwa ili wawe maarufu , wwngine ili wawasaidie wasiojiweza , wengine wanaona wamezaliwa ili kuenjoy haya maisha..

Kwahio ni juu yako kutafuta purpose ya maisha
 
Back
Top Bottom