Abbitto
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 547
- 757
Aliyeetuumba anajua
Na hii mambo ya watu kuzaliwa na kufa yataendelea hadi lini?
#Tukiachana Na Dini
Na hii mambo ya watu kuzaliwa na kufa yataendelea hadi lini?
#Tukiachana Na Dini
Kijana uwe na Imani Kwa yule aliyekuumba,mkono wake ni wenye nguvu!!!Tangu binadamu aanze kuwepo hapa duniani, inasemekana idadi ya watu ambao wameshazaliwa na kufa mpaka sasa ni zaidi ya watu bilioni 108. Hawa wote walizaliwa, wakakua, wakazaliana na mwisho nao wakafa. Katika wakati huo wote dunia imeendelea kubaki vile vile haijabadilika.
Mimi nafikiri dhumuni la kuwepo hapa duniani ni kuishi na kuzaliana. Hayo mengine ni njia ya kupeana moyo tuu lakini sioni kama yana uhalisia wowote. Sidhani kama kuna kiumbe chochote kimetuweka hapa duniani ili tukitumikie maana katika kuishi kwetu hakuna tunachokitumikia zaidi ya kutafuta mahitaji yetu wenyewe. Sioni huyo alietuweka hapa (kama yupo) anafaidika vipi na uwepo wetu? Hayo ni maoni yangu.
Mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu.Ulikuwa umeanza vizuri ila ukaja kuharibu ulivyoweka neno mungu lakini si mbaya
Hata kama haumuoni iyo pumzi unayovuta unafikiri imejitokeza yenyewe,jizibe bas usiivuteKisicho kuwepo huwezi kukithibitisha kuwepo kwake kwakuwa hakipo kwa hivyo mtu anayesema kitu kipo ndio anatakiwa athibitishe kuwepo kwake
Mimi nikisema Wickson yupo ? Jibu atajitokeza Wickson na atasema nipo au atatoa uthibitisho wa uwepo wake kwa jambo lolote
Ninakusudia mungu unae mjua wewe, awe mungu Beyonce,allah, yehova, mungu ng'ombe(wahindu),yahwe, mti, pango, mto...
Unajua hujaeleza ni kwa namna hipi mungu aitaji elimu kumeulewa?.
Huyo mungu hajui kuwa kuna watu ambao hawajui kusoma na kuandika?.
Si mnasema ana uwezo wote, ni kwanini ashindwe jambo dogo namna hii la kumuwekea program kiumbe wake ili amjue automatically bila kuhitaji elimu?.
Hivi hujui kuwa hivyo vitabu vyenu vina makosa mengi ambayo hata Shigongo hawezi ruhusu makosa hayo kuwepo kwenye hadithi zake?.
Nope:
Husiniambie elimu ya dini.
Kama ni elimu ya dini, wewe mmatumbi dini umeipata na kuijua juz juzi tu, tena imeletwa na wakoroni wako walio wauza babu zako kama wanauza kuku mnadani.
Sasa unapotaka kuniambia elimu ya dini ndiyo inayohitajika ilhali babu zako hawakuipata hiyo elimu, b'coz wakati elimu ya di
Mkuu miungu ni wengi na wengi nawajua kwa mujibu wa maana ya Mungu/mungu.labda unataka kujua yule ninaeamini.Ninakusudia mungu unae mjua wewe, awe mungu Beyonce,allah, yehova, mungu ng'ombe(wahindu),yahwe, mti, pango, mto...
Unajua hujaeleza ni kwa namna hipi mungu aitaji elimu kumeulewa?.
Huyo mungu hajui kuwa kuna watu ambao hawajui kusoma na kuandika?.
Si mnasema ana uwezo wote, ni kwanini ashindwe jambo dogo namna hii la kumuwekea program kiumbe wake ili amjue automatically bila kuhitaji elimu?.
Hivi hujui kuwa hivyo vitabu vyenu vina makosa mengi ambayo hata Shigongo hawezi ruhusu makosa hayo kuwepo kwenye hadithi zake?.
Nope:
Husiniambie elimu ya dini.
Kama ni elimu ya dini, wewe mmatumbi dini umeipata na kuijua juz juzi tu, tena imeletwa na wakoroni wako walio wauza babu zako kama wanauza kuku mnadani.
Sasa unapotaka kuniambia elimu ya dini ndiyo inayohitajika ilhali babu zako hawakuipata hiyo elimu, b'coz wakati elimu ya dini inakuja huku kwetu babu zako walikuwa wapo mnadani wakiuzwa na hao hao ambao leo hii wanakuhubiria huyo mungu mwenye upendo wote.
Kwa muktadha huo unamaanisha babu zako wapo jehanamu b'coz elimu ya dini hawakuipata.
Unasema elimu ya dini ni kwa kila kiumbe hai, niambie ni lini na wapi umewai kuta twiga, tembo, nyati n.k wakiwa mkutano wa injiri/maombi?.
Hao nao ni viumbe hai.
Au wewe unapongelea viumbe hai unamaanisha nini?.
Ni Mungu wambingu na ardhi,ambae ni wa milele na ndio chanzo kikuu cha yote.Chanzo ambacho kipo tangu na tangu hakina mwanzo ni milele tu,tofauti na wewe unaelazimisha kuelezewa kupitia wakoloni.
Mungu ambae anajitosheleza kwa kila kitu na kuwepo kwake hakuwezi kutegemea chochote nje yake.Na hivyo lazima kitende kwa kukusudia.
kwa vile kitendacho kwa kukusudia lazima pia kitende kwa kujua, na kwa hivyo lazima kiwe kiumbe hai.
Jiulize mkuu wap unatoka? Unaelekea wapi baada ya hapa? Usitegemee tafsiri za wakoloni,wakoloni walikuja na yao.
Babu zetu kabla ya wakoloni walikua wakiuzana wenyewe kwa wenyewekwa kipande cha ardhi tu,au hata mapigano ya wenyewe kwa wenyewe ilitosha kumteka mtu na kummuza.
Umewahi kusoma kitabu cha Things fall apart? kama umesoma ile ndo hali halisi yetu kabla ya kuja wakoloni.
Mkuu unapoambiwa elimu ya dini usistuke ni utaribu wa kawaida wa binadamu,kuacha kufata matamanio na mihemko na kufata mwongozo sahihi,yaani ni kuhakikisha humumizi mtu kihisia wala kiwiliwili bila sababu ya msingi.
Utaratibu wa kimaumbile hautokei kwa kutaka uwe vile utakavyo.Wewe maelezo yako yameishia walipokutafsiria wakoloni,huna vyanzo vingine.
Unakua unachanganya mada na maneno uandikayo hayaeleweki,kiufupi huna mtiririko wa hoja gani umekamatia
Hata kama haumuoni iyo pumzi unayovuta unafikiri imejitokeza yenyewe,jizibe bas usiivute
Wewe itakuwa mndengereko maana nyie hamna h, uwa badala ya huwa, uona badala ya huona, endeleza mila kaka.Yawezekana ikawa ni kweli,maana jogoo anampopanda tetea uona fahari ya ujogoo wake ila ushangaa kumuona tetea akiwa na vifaranga na hivyo kujiona ni mfalme mwenye sauti katika himaya yake.
Kaaa kivyohivyo kuna siku utalazimika kujua kama yeye yupo.Pumzi ninayovuta ndio inazidi kuthibitisha kama mungu hayupo
Maana pumzi kuwa viumbe hai vinaitaji hewa katika matumizi mbalimbail
We aliyekupa habari za kuwa kuna mungu nani?
Na umujuaje kama kuna mungu?
Wewe ndiyo endelea kuamini, wengine hatutaki kuamini.Sawa sawa,hata ukiamini beyonce au alikiba ni mungu katiba haijakukataza wewe endelea kuamini tu mkuu,hakuna tatizo hapo !..
kivipKijana uwe na Imani Kwa yule aliyekuumba,mkono wake ni wenye nguvu!!!
Kivipie kaa hivyohivyokivip
aseeeePumzi ninayovuta ndio inazidi kuthibitisha kama mungu hayupo
Maana pumzi kuwa viumbe hai vinaitaji hewa katika matumizi mbalimbail
We aliyekupa habari za kuwa kuna mungu nani?
Na umujuaje kama kuna mungu?
Kivipie kaa hivyohivyo
namimi nashindwa kuelewa mkuuNilishawahi kuuliza, nini maana ya Maisha kama Tunakufa
Kaaa kivyohivyo kuna siku utalazimika kujua kama yeye yupo.
MfanoWewe itakuwa mndengereko maana nyie hamna h, uwa badala ya huwa, uona badala ya huona, endeleza mila kaka.
[emoji125][emoji125][emoji125]Hiyo siku haiwezi kutokea mi nataka kujua aliyekupa habari za kuwa kuna mungu ni nani?
Mbona swali langu hulijibu? unalikwepa?