Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Hakuna sababu yoyote wala maisha hayana maana.

Ni ubatili mtupu
[emoji115]
Screenshot_20190526-112907.jpeg
 
Mimi kama mtu nisiyekuwa na maarifa ya kutoelewa sababu za kuja kuishi hapa duniani, lakini sababu kubwa ya kuishi hapa duniani sio kuwa na nyumba, magari, pesa au heshima, nahitaji kutambua tukiachana navitabu vya kidini

1. hivi nini kusudi la kuishi hapa duniani ?

Mimi nimekuwa nikiona watu wakizaliwa wanakuwa wanazaa na muda ukifika anakufa. Je, sisi maisha yetu ni kama hawa wanyama kwamba tunaishi tu badae tukifa tunakuwa hatukuwepo, maana yake hapo hakuna faida ya maisha ?

Kwenu wajuzi .

Mungu amekuweka hapa duniani ili uishi kwa ajili yako mwenyewe salama, kwa amani na furaha yako na ya wengine pia. Can you imagine hali ingekuwaje kama kila mmoja angeishi kwa ajili ya kuhakikisha kuwa mwenzake anakuwa na furaha na amani? Kila mmoja angekuwa na furaha na amani. Hilo ndiyo lengo la Mungu. So make sure that in every coming hour/ day, you are not jeopardising someone's state of affairs. This is the superior prinipal of life under this world. Zaidi ya yote hakikisha uko na Mungu sekunde zote!

Tukiwa kwenye Semina ya neno la Mungu siku moja mwaka 2012, Mchungaji mmoja mahiri wa TAG anayeitwa Mosses Maghembe alitamka maneno haya: "WEWE HUWEZI KUBAKI SALAMA MUNGU AKIKUACHA HATA SEKUNDE MOJA". Ni mzee ambaye akitamka kitu, unapata ile sense ya ndani kabisa kwamba alichotamka maana yake anaielewa sawasawa, to the extent kwamba anaku-induce uelewa wake unaingia kwako moja kwa moja kuanzia pale ulipomsikia akitamka maneno husika
 
Aliyekuleta Hapa Duniani Ni Mungu Unaweza muuliza Kupitia Vitabu vyake Ili Upate Jibu fasaha maana yeye ndio yupo humo.
 
Mungu amekuweka hapa duniani ili uishi kwa ajili yako mwenyewe salama, kwa amani na furaha yako na ya wengine pia. Can you imagine hali ingekuwaje kama kila mmoja angeishi kwa ajili ya kuhakikisha kuwa mwenzake anakuwa na furaha na amani? Kila mmoja angekuwa na furaha na amani. Hilo ndiyo lengo la Mungu. So make sure that in every coming hour/ day, you are not jeopardising someone's state of affairs. This is the superior prinipal of life under this world. Zaidi ya yote hakikisha uko na Mungu sekunde zote!

Tukiwa kwenye Semina ya neno la Mungu siku moja mwaka 2012, Mchungaji mmoja mahiri wa TAG anayeitwa Mosses Maghembe alitamka maneno haya: "WEWE HUWEZI KUBAKI SALAMA MUNGU AKIKUACHA HATA SEKUNDE MOJA". Ni mzee ambaye akitamka kitu, unapata ile sense ya ndani kabisa kwamba alichotamka maana yake anaielewa sawasawa, to the extent kwamba anaku-induce uelewa wake unaingia kwako moja kwa moja kuanzia pale ulipomsikia akitamka maneno husika
sawa mkuuu
 
vitabu vyenyew sio vya kuamin sana mkuu

Look: just look around you where you are now! Possibly kuna viti, meza mapazia, n.k. Vyote hivyo havijawahi kujitengeneza, vyote kuna mikono ya watu ilivifanyia kazi halafu ndiyo vikawepo. Je, vile ambavyo unaviona vipo na si mikono ya wanadanu iliyovisababbisha kuwepo, ukiwemo wewe mwenyewe, vyenyewe tusemeje au tuseme vilijitengeneza vyenyewe? Katika vitu vyote vinavyokuzunguka ambavyo havina uhai hapo ndani kwako, hakuna hata kimoja ambacho kilijitengeneza chenyewe!
 
Sasa ndio nipo hapa kukuthibitishia kama mungu hayupo kwakuwa wenye kusema mungu yupo hawawezi kuthibitisha

Ukiniuliza swali yanipasa nikujibu swali lako na mm nikiuliza swali unijibu pia

Kama unataka uthibitisho kuwa mungu hayupo nijibu hili Does the darkness exist ?
Giza lipo, ukiondoa mwanga unabaki na giza.
 
Hujui unachoongea.

Mkuu tuishie hapa sioni sababu ya kuendelea maana nilitaka uthibitishe madai yako naona imeshindika hivyo mie sina cha zaidi.

Mungu wako hajui alichokiumba unashangaa Mimi sijui ninachoongea muonee huruma mungu wako unayemuabudu maana hana uelewa wowote kuhusu ulimwengu hilo hujaliona au unajitoa ufahamu?
 
Sababu za kuishi japa duniani ni chakula hakuna kingine,unaweza ukakosa vyote duniani na ukaishi lakin ukikosa chakula unakufa,mtoto akizaliwa utaambiwa umnyonyeshe na usipomnyonyesha atakufa na ili akue inabidu umpe chakula hakuna kitu muhim duniani kama chakula ndomana wanyama hawahangaiki na nyumba wala mavazi wanakula ili waishi tu, mimi nawewe tupo mpaka leo hii sababu ya msosi babu.
usiumize kichwa tafuta msos ukichoka kuishi we kaa ndani acha kula usihangaike na masumu kujiua utaondoka tartiiiibu.
 
Kwahiyo tunaishi ili tule au tunakula ili tuishi?
 
Mimi kama mtu nisiyekuwa na maarifa ya kutoelewa sababu za kuja kuishi hapa duniani, lakini sababu kubwa ya kuishi hapa duniani sio kuwa na nyumba, magari, pesa au heshima, nahitaji kutambua tukiachana navitabu vya kidini

1. hivi nini kusudi la kuishi hapa duniani ?

Mimi nimekuwa nikiona watu wakizaliwa wanakuwa wanazaa na muda ukifika anakufa. Je, sisi maisha yetu ni kama hawa wanyama kwamba tunaishi tu badae tukifa tunakuwa hatukuwepo, maana yake hapo hakuna faida ya maisha ?

Kwenu wajuzi .

Matters can neither be created nor destroyed, it keep changing in form, till then
 
Swali lako ni fikirishi mno, binafsi naona duniani kama sehemu ya kutumikia adhabu ya Mungu kwa makosa tuliyomkosea tulipokuwa sehemu nyingine iliyokuwa ya asali na maziwa.
Dunia naona Mungu anaitumia kama gereza lake. Kuna wanyapara (matajiri) watakaopata raha kidogo ila magonjwa kama presha na kisukari ni adhabu kwao. Kuna wafungwa wakawaida (masikini) hawa mvua na jua ni lao kila shiada ni mali yao. Ukifa umemaliza kifungo unarudi uraiani (sehemu ya asali na maziwa) ulipokuwa mwanzo before uletwe gerezani (duniani).
 
Back
Top Bottom