Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Sababu za kuishi hapa duniani ni zipi

Nipo hapa kuzaa then nife.
Ntazaa watoto hata Mia moja ili ninapokufa jina langu halitokufa!😎😎😎😎
 
Sijui unakwama wapi?.
Hata kama ukijilipua bila mashaka hiyo haibadili maana halisi ya neno IMANI.
Hata walio muhukumu Galileo hawakuwa na mashaka na hukumu yao. walijiona wapo sahihi, lakini leo mambo ni kinyume chake.
kuamini kuwa mungu yupo, hakumfanyi awepo.
Hakuna aliyewai kuthibitisha kuwa mungu yupo.
So, mtu kujilipua hakuthibitishi uwepo wa mungu.
Zamani watu waliamini dunia ni flat, hilo halikufanya dunia iwe bapa.
Unalazimisha mambo, unataka imani iwe fact.
Nimekupa tafsiri ya neno "IMANI" nayo huitaki.
Hutaki kukubali, et kisa kuna watu wanajilipua kwasababu hawana mashaka.
Hizo ni porojo tu, wangelikuwa hawana mashaka, wasingelikuwa wanaamini.
Kuamini na kujua vitu n 2 tofauti.
Tatizo lako wakati mie nazungumzia neno imani kiujumla wake(bila kujari ni imani ya kuamini Mungu ama chengine chochote?) wewe umejikita kwenye imani ya Mungu tu na matokeo yake ndio unalazimisha tafsiri zenye kuendana na mtazamo na msimamo wako kuhusu Mungu,kwako wewe neno imani ni kama uongo tu fulani au ni jambo ambalo halina maana yeyote kisa unapinga kuwepo kwa Mungu.

Huo mfano wa anayejilipua sijautoa kumaanisha kwamba anachoamni ni kweli au si kweli(sipo huko mie) bali nimekuonesha tu kwamba hana mashaka hivyo ni kinyume na maelezo yako kwamba kuamini ni kuwa na mashaka,halafi chengine kuamini si mbadala wa kutokujua kwamba kama jambo hulijua basi ndio hapo inatumika imani.
Watu sio kwamba wanaamini kwa sababu kuna kitu hawakijui.
 
Sina haja ya kubishana nawe kama unaona mie ni mgumu kuelewa basi tuishie hapa tusichoshane.

Mungu wako hayupo angalia unavyoangaikia kumtetea kama angekuwepo angelishajitetea mwenyewe

That's why kuna miungu wengi kwakuwa wote ni fake

"Ombeni nanyi mtapewa,Tafuteni nanyi mtaona,bisheni nanyi mtafunguliwa" Mathayo 7:7

Halafu hutaki kubishiwa huwezi funguliwa
 
Mimi sikuwa najadiliana na wewe kuhusu Mungu wangu na wala sijazungumzia kabisa hilo suala bali nilikuwa najadili kuhusu uthibitisha wa unachokidai kwamba hakuna Mungu ila nilichogundua haupo hapa kujadiliana kwa hoja bali kushambulia imani za watu na ndiyo maana ukawa unataka kujua imani yangu na kibaya japo sikukujibu ila ukaamua tu kuanza kushambulia hivyo hivyo.

Wewe ndio umekuja humu na kudai hakuna Mungu,sasa mie nakuhoji juu ya madai yako hayo matokeo yake umehamisha mjadala na kuanza kuzungumzia Mungu wangu toka niingie humu sijaeleza habari za Mungu wangu humu,kosa langu ni kuhoji kwa maana sikutakiwa kukuhoji.
 
Sasa ndio nipo hapa kukuthibitishia kama mungu hayupo kwakuwa wenye kusema mungu yupo hawawezi kuthibitisha

Ukiniuliza swali yanipasa nikujibu swali lako na mm nikiuliza swali unijibu pia

Kama unataka uthibitisho kuwa mungu hayupo nijibu hili Does the darkness exist ?
 
Mkuu sipo hapa kubishana na wewe hivyo kama unaona huwezi kueleza unachotaka kukieleza mpaka utumie njia ya kubishana basi tambua sina muda huo.
 
Basi usidhani haya mambo ni rahisi yaan kama unavyofikiri lazima usumbue akili yako kuanzia cerebral mpaka medula oblangata

Kwakuwa inaonekana ww unapenda mkato hupendi njia ngumu basi sawa usitegemee kwa mtu yoyote kama atakujibu hilo swali lako

Sawa kwa heri
 
Kufa lazima ufe utake usitake - na uzuri wake ni kwamba siku ya kufa hutakaa uifahamu kamwe!! cha msingi tenda mema kwa muda huu mfupi wa kuishi duniani maana hujui yawezekana kukawa na maisha mengine baada ya kifo - who knows...!!
 
Basi usidhani haya mambo ni rahisi yaan kama unavyofikiri lazima usumbue akili yako kuanzia cerebral mpaka medula oblangata
Kwakuwa inaonekana ww unapenda mkato hupendi njia ngumu basi sawa usitegemee kwa mtu yoyote kama atakujibu hilo swali lako
Sawa kwa heri
Ni wewe ndio unaona mambo rahisi kwamba useme kitu fulani hakipo na ndiyo basi iwe hivyo kweli hakipo kwa sababu umesema tu hakipo.
 
Mungu hayupo inajulikana wazi mungu hayupo

Tunashangaa wenzetu hii fikra ya kuwa kuna mungu mumeipata wapi?

Wakati miaka mingi imepita toka kizazi na kizazi cha jamii yetu haya mambo hawakuwa nayo je nyinyi mmejuaje kama kuna mungu?
 
Hujui unachoongea.

Mkuu tuishie hapa sioni sababu ya kuendelea maana nilitaka uthibitishe madai yako naona imeshindika hivyo mie sina cha zaidi.
 
Back
Top Bottom