Sio kwamba Nissan Dualis zina kasoro ya kiwandani hadi zote ziungue moto. Tatizo kubwa ni service duni na mafundi wasio wataalam wa Nissan.
1. Kuna Plastiki ya kuzuia joto (heat shield/insulation) nyuma ya engine na lipo karibu sana na bomba la moshi, loki za plastiki, zikipata joto kali Zinakatika, Plastiki inagusa bomba la moshi na moto unaanzia hapo 🔥
2. Paipu za mafuta (fuel lines) ziko karibu, yakivuja mafuta kidogo tu, yakigusa sehemu yenye joto kali, Moto unaanza haraka sana.
3. Thermostat nazo zinalalamikiwa kuwahi kuharibika inaweza kusababisha moto.
3, Mafundi wasio wataalam wa magari ya Nissan, hawakagui hali ya lock za plastiki, wakiona loki imelegea wanakaza na hufanya iwe karibu zaidi na engine, wanabadili lock za plastiki na zinaweza kuwa feki za bei rahisi, Hawana ujuzi au vifaa maalum vya kufanya tests kujua kama mafuta yanavuja bila kugundulika
Jinsi ya kuepuka hatari ya moto

- Fanya service gereji yenye mafundi wtaalam wa Nissan, hizo gerej za mtaani achia roho za paka toyota
- Hakikisha Heat shield iko salama na imefungwa kwa vitu vinavyostahimili joto
- Ukaguzi mkubwa kuhakikisha hakuna fuel leak hata kidogo
- hakikisha Exhaust haigusani na plastiki yoyote
- angali hali ya themostat kama inahitaji kubadilishwa
- Usipuuze harufu ya mafuta au moshi wa ajabu
- Usiwe mbahili, Nissan haitaki ubahili, nunua spea original na peleka gari kwenye gereji zenye wataalam wa Nissan.