Sababu, kwanini Acacia hawataki kulipa $300m

Sababu, kwanini Acacia hawataki kulipa $300m

Acacia Mining takes further revenue hit as deal with Tanzania nears

"Barrick is equally aware of our balance sheet as we are, so we don’t have the ability to make an upfront $300m payment,” said Andrew Wray, adding that the form of the payment - for example, installments - would have to be worked out in further talks.

Walichosema ni kuwa kwa sasa hawana pesa ya kulipa mbele kwa sababu mgogoro umeathiri akaunti yao ya benki. Itabidi yafanyike mazungumzo kuwe na utaratibu wa kulipa kwa awamu.
Halafu hawa wanaonzisha hizi threads utaona hawataki Acacia walipe na wanataka waende Mahakamani for political gain. Lakini tutakao hathirika ni sisi uku mtaani.
 
yeah right.
watalipa kwa instalment miaka 100. kila mwaka $1M.
safari njema vwonder na SGR!
 
Halafu hawa wanaonzisha hizi threads utaona hawataki Acacia walipe na wanataka waende Mahakamani for political gain. Lakini tutakao hathirika ni sisi uku mtaani.
Mbona kipindi cha jk walikuwa hawalipi na hatukuathirika
 
Taarifa kama hii inazidi kuwangezea maradhi walio vitandani na wale wenye kukimbiwa na wanachama!
 
Mi naomba niulize, ivi izo USD 300m zime kokotolewaje hadi kufikia hapo? Kwanini sio 500m? Yani kitu gani kilichowafikisha hapo kwenye 300m? Na je madai yetu ya trillion 190+ wao Barrick wanasemaje? Na zile ripoti walipewa wazisome? Walikubaliana na kile kilichoandikwa? Kama ndio walipe! Kama hapana wao wanaona wapi ripoti haipo sawa? Na je tunafikiaje muafaka?
Kabudi bado hajaeleweka kabisa!

Kuwa mzalendo wewe!!!
 
Fungua website yao na kusoma mwenyewe nini walichosema ili uache ujinga ujinga wa arguments bila facts. You don't need to hear from Chadema pundits as you say, but you also need to be smart. log in and look up for yourself. What did they exactly say???
Sina haja ya kwenda kwenye website yao ni amini kilichoandikwa hapa ni ukweli au uongo.

Acacia walishatoa Statement kwa shareholders wake Friday na hizi kampuni wako makini ku avoid contradiction!

Wewe labda umekataa kuelewa walichoandika!
 
Tumeshakosa yote, hata nauli ya kuvukia pantoni feri hakuna sasa [emoji855]‍[emoji17][emoji17]♂️
 
Halafu hawa wanaonzisha hizi threads utaona hawataki Acacia walipe na wanataka waende Mahakamani for political gain. Lakini tutakao hathirika ni sisi uku mtaani.
Hivi unawaelewa wanaposema,

"Barrick is equally aware of our balance sheet as we are, so we don’t have the ability to make an upfront $300m payment,” au unalalamika tu ili uonekane unalalamika.
 
Swali hili naomba limfikie yule MDUDU MROPOKAJI popote pale alipo.
Je, Barrick/Acacia wameishtaki Tanzania MIGA au bado?
 
Mkuu mbona wabunge wa ccm waliendelea kujazana huko bungeni wakati ccm ikipitisha mikataba ya wizi ambayo leo ndio mnajifanya wazalendo? Wapiga kura wengi wanachagua kwa mazoea, hofu na rushwa, sio zaidi ya hapo.
Usisahau na waliotutisha tutashtakiwa na tutalipa pesa nyingi!
 
Hivi unawaelewa wanaposema,

"Barrick is equally aware of our balance sheet as we are, so we don’t have the ability to make an upfront $300m payment,” au unalalamika tu ili uonekane unalalamika.
Hivi wewe ni wapi Acacia wamesema hawatalipa!
 
Heading yenye uongo mtupu. Hakuna sehemu Acacia wamesema hawataki kulipa.

Chadema kwa huu uongo wenu 2020 mtawafanya wabunge wenu wengi sana wasirudi!
Wamesema kwenye mahojiano na DW.
 
Back
Top Bottom