Sababu, kwanini Acacia hawataki kulipa $300m

Kwa sababu kama wewe ni active member sitegemei kama kweli hujaona thread zilizo na news za Acacia kugoma kulipa.
Nimeona hizo taarifa za Reuters. Hizo ni taarifa za kipropaganda. Taarifa rasmi hutolewa kwenye website yao.Na ukitaka kujua hiyo taarifa ni rubbish we angalia wanaongelea kulipa 600 billion kama deni. Je CEO wa barick alisema watalipa 600 billion kama deni?Je alisema nini kuhusu swala la deni ambalo Tanzania inadai?Huon Taarifa hiyo sio sahh?Kwanza bodi imekaa lini kupitia hayo makubaliano coz sio pesa tu ni makubaliano yote inatakiwa wajadili. Njoo na ufafanuz wa kisomi.
 
Ndio maana nakuambia keep on waiting ila ninachojua mzungu ndio kumaliza do not expect anything more.
 
Mkuu waliosema hawalipi ni Acacia sio mimi.

Acacia Mining says cannot pay $300 million to Tanzania upfront

Oct 20 (Reuters) - Gold miner Acacia Mining Plc does not have the ability to make a $300 million payment to the Tanzanian government to resolve a tax dispute, Chief Financial Officer Andrew Wray said on a call with analysts.

Acacia’s majority stakeholder, Barrick Gold, on Thursday reached an agreement with Tanzania that included a $300 million payment by Acacia and splitting of ‘economic benefits’ from operations with the Tanzanian government. (Reporting by SanjeebanSarkar in Bengaluru; Editing by Sunil Nair)

Source: Acacia Mining says cannotpay $300 mln to Tanzania upfront
Mkuu,
Mbona wametumia neno “ability”.

Mbona mnapenda kupindisha mambo. Kuna neno “Upfront”. Na content kuna neno “ability”!
 
Waliambiwa ni wezi inamaanisha maprof wetu wameshindwa kuonyesha wao ni wezi. hata wasipolipa hata kumi mwisho siku upande wetu wakishindwa kuonyesha kama ACACIA niwezi tunatakiwa kubeba gharama
was this on the negotiation agenda? Tafua mabwana wengine ufanyie ukibaraka wako Acacia are on the exit course.
 
Heading yenye uongo mtupu. Hakuna sehemu Acacia wamesema hawataki kulipa.

Chadema kwa huu uongo wenu 2020 mtawafanya wabunge wenu wengi sana wasirudi!
Fungua website yao na kusoma mwenyewe nini walichosema ili uache ujinga ujinga wa arguments bila facts. You don't need to hear from Chadema pundits as you say, but you also need to be smart. log in and look up for yourself. What did they exactly say???
 
Heading yenye uongo mtupu. Hakuna sehemu Acacia wamesema hawataki kulipa.

Chadema kwa huu uongo wenu 2020 mtawafanya wabunge wenu wengi sana wasirudi!

Mkuu mbona wabunge wa ccm waliendelea kujazana huko bungeni wakati ccm ikipitisha mikataba ya wizi ambayo leo ndio mnajifanya wazalendo? Wapiga kura wengi wanachagua kwa mazoea, hofu na rushwa, sio zaidi ya hapo.
 
Watanzania tumepoteza kabisa uhalisia. Kudhani hawa Barrick sijui Acacia watatuletea 300 million dollars tena in CASH haina tofauti na dada zetu wanasimama mbele ya camera na kusema 'wamevaa' nywele ya milioni 3. I guess watu wameona uongo mkubwa ni rahisi zaid kukubalika. Uongo huu ulianzia na madai ya deni la TRA kwa Acacia, lilikuwa kiasi gani vile? I mean, come on!!

Msifanye mchezo na 300 million dollars nyie!!!
 
Hivi naomba kuuliza, kwani Chadema wameshatoa tamko lao rasmi kuhusu hii issue ya Serikali na Acacia/Barriçk?

Na kama bado, mbona wanasakamwa sana humu kama vile wametoa tamko linaloashiria kuponda taarifa iliyotolewa na serikali. Kulikoni?
 
Acacia Mining takes further revenue hit as deal with Tanzania nears

"Barrick is equally aware of our balance sheet as we are, so we don’t have the ability to make an upfront $300m payment,” said Andrew Wray, adding that the form of the payment - for example, installments - would have to be worked out in further talks.

Walichosema ni kuwa kwa sasa hawana pesa ya kulipa mbele kwa sababu mgogoro umeathiri akaunti yao ya benki. Itabidi yafanyike mazungumzo kuwe na utaratibu wa kulipa kwa awamu.
 
Watalipaje,kwani wanadaiwa???
 
mods watabadilisha ni dola milioni mia tatu,lazima walipe mkuu
 
Back
Top Bottom