Sababu, kwanini Acacia hawataki kulipa $300m

Mkurugenzi Mtendaji wa Acacia Bw. Brad Gordon alisema tangu serikali ya Tanzania izuie kusafirisha makinikia nje ya nchi na kuyazuia makontena yake bandari ya DSM, kampuni yake imekuwa ikipata hasara ya dola za kimarekani 15m kila mwezi.

Makontena yamezuiliwa tangu mwezi wa tatu ni karibu miezi 8 sasa, kwa gharama hiyo Acacia wameshapata hasara ya takribani $120m.

Kwenye mazunguzo yaliyoisha juzi kati ya serikali na wawakilishi wa Acacia, Barrick wamekubaliana Acacia walipe $300m in good faith.

Je, kwenye makubaliano hayo wali consider hasara wanayopata Acacia hadi leo? au tuseme ndio sababu ya wao kugoma kulipa? na je, wakisema kwenye hiyo $300m watoe hasara ya $120m tupo tayari kuchukua $180m zilizobaki ili nasisi tuonyeshe uaminifu kwao au hatuwaamini tena, kama hatuwaamini kwanini tuendelee kufanya nao biashara.

Mawazo yako Tafadhali.
Kwa hiyo ni mwendo wa kuonyeshana imani tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kazi tunayo waTz kuna watu wanaomba serikali ifail kabisa kwenye hii vita
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Acacia Bw. Brad Gordon alisema tangu serikali ya Tanzania izuie kusafirisha makinikia nje ya nchi na kuyazuia makontena yake bandari ya DSM, kampuni yake imekuwa ikipata hasara ya dola za kimarekani 15m kila mwezi.

Makontena yamezuiliwa tangu mwezi wa tatu ni karibu miezi 8 sasa, kwa gharama hiyo Acacia wameshapata hasara ya takribani $120m.

Kwenye mazunguzo yaliyoisha juzi kati ya serikali na wawakilishi wa Acacia, Barrick wamekubaliana Acacia walipe $300m in good faith.

Je, kwenye makubaliano hayo wali consider hasara wanayopata Acacia hadi leo? au tuseme ndio sababu ya wao kugoma kulipa? na je, wakisema kwenye hiyo $300m watoe hasara ya $120m tupo tayari kuchukua $180m zilizobaki ili nasisi tuonyeshe uaminifu kwao au hatuwaamini tena, kama hatuwaamini kwanini tuendelee kufanya nao biashara.

Mawazo yako Tafadhali.
Maswali yako umechukulia kana kwamba majadiliano yalifanyika siku moja!
I am sure they pull out all the stops and explore all the venues!
 
Heading yenye uongo mtupu. Hakuna sehemu Acacia wamesema hawataki kulipa.

Chadema kwa huu uongo wenu 2020 mtawafanya wabunge wenu wengi sana wasirudi!
Wewe nae acha kukurupuka kama wale wawakilishi wetu kwenye mazungumzo.

Ni wapi mtoa thread amesema anawasilisha mawazo ya chadema ?
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Acacia Bw. Brad Gordon alisema tangu serikali ya Tanzania izuie kusafirisha makinikia nje ya nchi na kuyazuia makontena yake bandari ya DSM, kampuni yake imekuwa ikipata hasara ya dola za kimarekani 15m kila mwezi.

Makontena yamezuiliwa tangu mwezi wa tatu ni karibu miezi 8 sasa, kwa gharama hiyo Acacia wameshapata hasara ya takribani $120m.

Kwenye mazunguzo yaliyoisha juzi kati ya serikali na wawakilishi wa Acacia, Barrick wamekubaliana Acacia walipe $300m in good faith.

Je, kwenye makubaliano hayo wali consider hasara wanayopata Acacia hadi leo? au tuseme ndio sababu ya wao kugoma kulipa? na je, wakisema kwenye hiyo $300m watoe hasara ya $120m tupo tayari kuchukua $180m zilizobaki ili nasisi tuonyeshe uaminifu kwao au hatuwaamini tena, kama hatuwaamini kwanini tuendelee kufanya nao biashara.

Mawazo yako Tafadhali.[/QUOTE
Acacia alifanya biashara na nana? Alie kuja wekeza Tz, ni Barick sio Acacia, Acacia yey alifanya biashara na Baric sisi hatumjui
 
Wewe nae acha kukurupuka kama wale wawakilishi wetu kwenye mazungumzo.

Ni wapi mtoa thread amesema anawasilisha mawazo ya chadema ?
Hawa ndio waongea wa Chadema hapa JF. Sijawahi kusikia msemaji wa Chadema ambaye naye ni member hapa akitoa Statement ya kuwakemea
 
Barrick na Serikali walitoa na kutia sign makubaliano ya majadiliano Thursday.
Ijumaa Acacia wakasema mahamuzi yatafanywa na Board na Shareholders.
Saturday na Sunday soko la hisa la London(LSE) limefungwa mpaka Monday, 8am. Kwa hiyo hauwezi kutoa Statement yoyote kwa shareholders.

Acacia wameshatoa utaratibu wao.
Halafu Chadema kama vile hamtaki Acacia walipe lakini watakao suffer ni dada yako, ndugu zako, Watanzania wote. Chadema hamlioni Hilo!
Sijui unatumia kigezo gani kumtambua huyo mtoa mada kuwa ni chadema maana sijaona maali kajitaja yeye ni mwanachama wa chama cha chadema
 
Unaniunganisha na nani mbona naandika peke yangu!
Mkuu,
Mwenye huu uzi ameandika Acacia wamesema hawalipi na wewe umeniambia ushahidi upo DW.
Labda sasa hivi utakuwa umenielewa nilipotumia neno “nyie”.
 
Tangia mwanzo serikali ilisema acacia hawatambuliki hapa kisheria na ndio maana haikuhangaika nao imefanya mazungumzo na mhusika anaetambulika ambae barick.
 
Back
Top Bottom