Sababu, kwanini Acacia hawataki kulipa $300m

Sababu, kwanini Acacia hawataki kulipa $300m

Jana walisema hawana hizo pesa.
Kama kila mwezi walikula hasara ya mil. 15..? Na makontena yamezuiliwa kwa kipindi cha miezi nane sawa na mil. 120! Je wana miezi mingapi toka waanze kupata faida ya mi. 15 kwa mwezi??

Kweli namba inasomwa na wengi
 
Barrick na Serikali walitoa na kutia sign makubaliano ya majadiliano Thursday.
Ijumaa Acacia wakasema mahamuzi yatafanywa na Board na Shareholders.
Saturday na Sunday soko la hisa la London(LSE) limefungwa mpaka Monday, 8am. Kwa hiyo hauwezi kutoa Statement yoyote kwa shareholders.

Acacia wameshatoa utaratibu wao.
Halafu Chadema kama vile hamtaki Acacia walipe lakini watakao suffer ni dada yako, ndugu zako, Watanzania wote. Chadema hamlioni Hilo!
Mkuu waliosema hawalipi ni Acacia sio mimi.

Acacia Mining says cannot pay $300 million to Tanzania upfront

Oct 20 (Reuters) - Gold miner Acacia Mining Plc does not have the ability to make a $300 million payment to the Tanzanian government to resolve a tax dispute, Chief Financial Officer Andrew Wray said on a call with analysts.

Acacia’s majority stakeholder, Barrick Gold, on Thursday reached an agreement with Tanzania that included a $300 million payment by Acacia and splitting of ‘economic benefits’ from operations with the Tanzanian government. (Reporting by SanjeebanSarkar in Bengaluru; Editing by Sunil Nair)

Source: Acacia Mining says cannotpay $300 mln to Tanzania upfront
 
Mkurugenzi Mtendaji wa Acacia Bw. Brad Gordon alisema tangu serikali ya Tanzania izuie kusafirisha makinikia nje ya nchi na kuyazuia makontena yake bandari ya DSM, kampuni yake imekuwa ikipata hasara ya dola za kimarekani 15m kila mwezi.

Makontena yamezuiliwa tangu mwezi wa tatu ni karibu miezi 8 sasa, kwa gharama hiyo Acacia wameshapata hasara ya takribani $120m.

Kwenye mazunguzo yaliyoisha juzi kati ya serikali na wawakilishi wa Acacia, Barrick wamekubaliana Acacia walipe $300m in good faith.

Je, kwenye makubaliano hayo wali consider hasara wanayopata Acacia hadi leo? au tuseme ndio sababu ya wao kugoma kulipa? na je, wakisema kwenye hiyo $300m watoe hasara ya $120m tupo tayari kuchukua $180m zilizobaki ili nasisi tuonyeshe uaminifu kwao au hatuwaamini tena, kama hatuwaamini kwanini tuendelee kufanya nao biashara.

Mawazo yako Tafadhali.
Unaweza kuleta official document au news kuwa acacia wamegoma kutoa tena sio kulipa hiyo hela?
 
niliposikia serikali inafanya majadiliano na wakwepa kodi nikajua tayari tumeshaingizwa mkenge...

accacia walipaswa kushitakiwa kwa sheria za nchini za kukwepa kodi na kuhujumu uchumi.. sio kuwabembeleza wakati madini ni ya kwetu.
Mwizi aliruhusiwa na mwenye mali kuiba tena kwa kuandikishana,sasa huyo mwizi unaweza kumshitaki wapi mura????
 
Barrick na Serikali walitoa na kutia sign makubaliano ya majadiliano Thursday.
Ijumaa Acacia wakasema mahamuzi yatafanywa na Board na Shareholders.
Saturday na Sunday soko la hisa la London(LSE) limefungwa mpaka Monday, 8am. Kwa hiyo hauwezi kutoa Statement yoyote kwa shareholders.

Acacia wameshatoa utaratibu wao.
Halafu Chadema kama vile hamtaki Acacia walipe lakini watakao suffer ni dada yako, ndugu zako, Watanzania wote. Chadema hamlioni Hilo!
Mlipopitisha mikataba mibovu hamkuliona?
 
Endelea kusubiri noah zinakuja.
Hili ndo jibu sahihi la swali langu?au jf ishakuwa kijiwe kama vijiwe vingine watu ni mastori ya udaku?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Kasababu wanataka watupe na zile trillioni kwa pamoja...Nawaza kilumumba
 
Makinikia haikuwa biashara yao pekee.
Ni just 10% ya dhahabu wanayovuna.
Walishauriwa, tujitoe miga tuvunje mikataba tuanze upya.
Mbona kina morales wanasurvive?
 
Hili ndo jibu sahihi la swali langu?au jf ishakuwa kijiwe kama vijiwe vingine watu ni mastori ya udaku?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
Kama wewe ni active member sitegemei kama kweli hujaona thread zilizo na news za Acacia kugoma kulipa.
 
Back
Top Bottom