Hata taifa tajiri haliwezi kulipa hiyo pesaMkurugenzi Mtendaji wa Acacia Bw. Brad Gordon alisema tangu serikali ya Tanzania izuie kusafirisha makinikia nje ya nchi na kuyazuia makontena yake bandari ya DSM, kampuni yake imekuwa ikipata hasara ya dola za kimarekani 15m kila mwezi.
Makontena yamezuiliwa tangu mwezi wa tatu ni karibu miezi 8 sasa, kwa gharama hiyo Acacia wameshapata hasara ya takribani $120m.
Kwenye mazunguzo yaliyoisha juzi kati ya serikali na wawakilishi wa Acacia, Barrick wamekubaliana Acacia walipe $300m in good faith.
Je, kwenye makubaliano hayo wali consider hasara wanayopata Acacia hadi leo? au tuseme ndio sababu ya wao kugoma kulipa? na je, wakisema kwenye hiyo $300m watoe hasara ya $120m tupo tayari kuchukua $180m zilizobaki ili nasisi tuonyeshe uaminifu kwao au hatuwaamini tena, kama hatuwaamini kwanini tuendelee kufanya nao biashara.
Mawazo yako Tafadhali.
Uaminifu mzuri yaani bila hatiaHiv mzungu akisema “good faith” huwa anamaanisha nn? Mimi wa dihimba ni ngumu kuelewa naomba ufafanuzi tafadhali.
"Mahamuzi" ndio kitu gani? Kumbe kama mnajua kwamba "mahamuzi" hayajatolewa mbona mnawashwashwa mpaka na kufanya makongamano kupongeza?Mahamuzi yatafanywa na shareholders na board
Migodi iko ulaya si iko nchini kwetu tunatwaa mgodiWasipolipa mtawafanyaje,mtawashtaki???
Ni trillion 400na ushee mkuutoka tr 140 tukashusha dau angalau b.700 bado hawajaridhika tu! halafu hawa hawa ndo ugawane nao 50/50 na umiliki wa 16%?yani hata mwanafunzi wa std 1 pale feza atashtuka!
We unawaza siasa za uchaguzi na vyeo tu!!!Heading yenye uongo mtupu. Hakuna sehemu Acacia wamesema hawataki kulipa.
Chadema kwa huu uongo wenu 2020 mtawafanya wabunge wenu wengi sana wasirudi!
NdiyoMkuu.
Wewe unaishi Tanzania hii mimi ni nayo ishi!
Mkitwaa hiyo migodi dhahabu mtaziuza nchini kwenu or mtaenda kuziuza ulaya???Migodi iko ulaya si iko nchini kwetu tunatwaa mgodi
Ghafla "nyie" imekuwa subject!Mkuu,
Mwenye huu uzi ameandika Acacia wamesema hawalipi na wewe umeniambia ushahidi upo DW.
Labda sasa hivi utakuwa umenielewa nilipotumia neno “nyie”.
tatizo mtu akiweka hoja kupinga kauli za raisi ni chademaWewe lazima utakuwa ni mgeni hapa JF.
Mkuu, unasema huna haja ya kusoma walichoandika kwenye web yao, kisha unasema mimi ndiye niliyekataa kuelewa walichoandika??? does it make a single sense to you?Sina haja ya kwenda kwenye website yao ni amini kilichoandikwa hapa ni ukweli au uongo.
Acacia walishatoa Statement kwa shareholders wake Friday na hizi kampuni wako makini ku avoid contradiction!
Wewe labda umekataa kuelewa walichoandika!
Wao wanajiona wajanja kumbe ni majuha wa kutupwa.Heading yenye uongo mtupu. Hakuna sehemu Acacia wamesema hawataki kulipa.
Chadema kwa huu uongo wenu 2020 mtawafanya wabunge wenu wengi sana wasirudi!
Unadhani mnaichukua tu kama machungwa, mliwapa kisheria lazima muwanyang'anye kisheria not otherwise.Migodi iko ulaya si iko nchini kwetu tunatwaa mgodi
Hivi umesoma maandishi yangu yote?!Mkuu, unasema huna haja ya kusoma walichoandika kwenye web yao, kisha unasema mimi ndiye niliyekataa kuelewa walichoandika??? does it make a single sense to you?