Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 11,255
- 19,098
- Thread starter
- #21
Mkuu, umesahau alikuwa mkurugenzi wa Arusha International Conference Centre, na Waziri kwa miaka mingi sana kabla ya kugombea uraisi 1995? Kuna watu wanapewa ukurugenzi au uwaziri miaka mitatu tu na wanabadilika kabisa katika hali yao ya kifedha. Kuna namna, sio lazima uibe hela ya serikali. Leo hii ukiambiwa tunakupa kazi utununulie magari 100 tu wizara ya kilimo tayari unaweza kuwa bilionea, au kivuko cha kigamboni.Huwa najiuliza hivi biashara kubwa kubwa za Edo mpaka kuonekana ana utajiri wa wizi zilikuwa ni zipi hasa?