Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,243
- 90,302
Ningependa kujifunza kuhusu watu wanaoishi milimani katika jiji la Mwanza.
Nini hupelekea watu masikini kwenda kujenga na kuishi juu ya hii milima ukizingatia Mwanza bado ina maeneo makubwa tambarare?
Materials na vifaa vya ujenzi huwa vinafikishwaje juu ya vilima ukizingatia kuwa havina barabara za gari?
Watoto wadogo huwa wanaishi vipi huko juu kilimani? Wanachezaje?
Huwa kuna ajali za watu mfano walevi kupata ajali za kuanguka na kubiringika kutoka juu milimani?
Wenye magari huwa wanayaweka wapi? Huwa wanayaacha chini na kuanza kupanda kwa miguu kwenda kwenye nyumba zao?
Nyumba za masikini kwenye vilima Mwanza hazikidhi vigezo vya kuwa slum?