Kuliko Kunichukia na Kukataa Ukweli na Uchambuzi Wangu Huo Mdogo tu Ungenishukuru Kwani Kuna Mengi Ninayo na Ninayoyajua Ya Kuhusu Sakata Zima La Rwanda na Tanzania na Kwanini Kumeundwa Coalition of the Willing na Nyeti Lukuki Za Nchi za Maziwa Makuu ILA Kwakuwa Umetanguliza Chuki Kwangu Sikupi Nyeti Zingine ambazo Zingekusaidia Wewe Na Hata Wenzio Wananiona Msaliti na Mwenye Akili Angetumia Haya Maoni au Mtazamo au Mchambuzi Wangu Huu Kuisaidia Tanzania ktk Masuala Mazima Ya Ulinzi na Usalama. Kaka Nipo Jikoni Kote Kote Kigali, Dar es Salaam, Nairobi, Bunjumbura, Kampala, Kivu na Kinshasa. Mimi Siyo Mtanzania Wala Mnyarwanda bali Mimi Ni Mwana Wa Afrika na Makabila Yote Ya Nchi Zilizopo Afrika Ni Yangu na Msipende Kuchochea Vita bali Tuchochee Amani, Upendo na Ushirikiano na Tanzania Inaponzwa na Haya Magazeti Mawili Ambayo NIMEYADHARAU na NITAYADHARAU Mpaka Mwisho wa Pumzi Yangu, Nayo ni Jambo Leo na Mtanzania Hivyo Badala Ya Kuniambia Shame on Me Ningeshauri Kwanza Uyaambie Hayo Magazeti Tajwa hapo Juu Kuwa Shame on them...............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!