Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

Na ndivyo itakavyokuwa hivyo.Imefika mahali sasa Wakuu awa kila mmoja anajiona ni muhimu kuliko mwezie!

naamini vienna convention inatoa haki kwa kila nchi kukubali au kukataa pendekezo la balozi/mwakilishi wa nchi nyingine. tena nchi inayokataa au kukubali haiwajibiki kueleza sababu za uamuzi wao. ndio maana jina la balozi/mwakilishi hupelekwa mapema ili nchi mwenyeji wapate muda wa kufanya utafiti wao na kutoa uamuzi wao.

sasa kwa nini tunakwazika nchi nyingine ikikataa mapendekezo yetu? je tumejiuliza iwapo serikali yetu ilifanya utafiti wa kutosha kabla ya kupendeza jina la balozi huko rwanda? je serikali yetu ililiona huu uwezekano wa jina kukataliwa lakini ikalipendekeza hilo jina ili kufikia malengo mengine? je hakuna uwezekano wa kwamba hapa watu wanafanya "high politics" and "strategic games"?

haya majina yanayopendekezwa huwa ni siri na jina linapokataliwa huwa halitangazwi bali serikali inapeleka jina lingine. sasa swali la kujiuliza ni nani aliyetoa hii taarifa na ni kwa malengo gani.

wapendwa kwenye haya masuala ya uhusiano wa kimataifa inabidi tuwe makini tunapotoa mawazo tusiache hisia kututawala. mara nyingi vitu kama hivi vitokeapo kuna mengi ambayo huwa hatuyajui (yako nyuma ya pazia).

nawatakia siku njema.
 
Kwa kuwa umezoea kununua vitu feki ambavyo hata Wachina wenyewe wanavipiga vita unafikiri kila kitu kutoka China ni feki. Pole wewe. Sasa hivi china anakimbiza kukaribia kuwa Super power wa Dunia. Duniani siku hizi karibu kila kitu kinachotumiuka na watu ni kutoka china, angalia hata hiyo simu yako.....
nakumbuka kagame hakuwepo kwenye sherehe za muungano, alituma mwakilishi, naamini mwakilishi hakumpa boss wake mrejesho wa alichokiona pale uwanjani...i mean maonyesho ya silaha zetu[/QUOTE

Hivi unaziamini products za Mchina?Pole!!!!
 
Mweshimiwa hayo mawili unayoyaona makubwa siyo makombora bali ni engine za ndege hiyo.

DAAA BRO UMEWAHI KUMJIBU MAANA NILICHOKA KWELI HUYO JAMAA NI MNDENGEREKO ENGINE ZA NDEGE YE ANADHANI NI MAKOMBORA hahahah...
 
Hatuna sababu za kujibu mapigo siku hizi ni fasheni kwa nchi fulani kumkataa balozi au mwanadiplomasia wanaedhani hatakuwa na manufaa kwao hata hivyo raisi hakumtangaza balozi ataeshika nafasi hiyo huko rwanda
 
Bro acha kutudanganya bhana ni lini israeli ilipigana na irani we unawajua vizuri iran au unawasikia kwenye bbc...mmarekani mwenyewe anafyata hajui aanze wapi..israel inawapiga wapalestina watumia mawe na rocket za kienyeji wakat wao wana kila kitu kuanzia ardhin,angan had nchi kavu na kama wangekuwa wanaubavu wangewapiga hezbullah kikund tu kinachodhaminiwa kimafunzo na silaha za kawaida na irgc mnamo 2006 wajua kiliwapata nn waisraili
 
- Kukataliwa kwa Balozi ni kawaida sana kwenye Jumuiya ya Kimataifa, Nyirabu alikataliwa USA kwa sababu alikuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu iliyoungua Duniani Wamarekani wakamkataa, haikutangazwa so wala sio ishu ya ajabu ila kwa sababu hali ya hewa kwa sasa na Rwanda sio nzuri sana ndio maana inataka kuwa ishu lakini kwenye Jumuiya za kimataifa wala iso ishu!!

Le Mutuz System
 
Zile siraha zote kwa sasa hakuna kiwanda hata kimoja kinacho unda, Uganda wana Ndege bora kabisa kutuzidi

uganda wana hii SU-30 kutoka Urusi,

Acha kunichekesha yaani mkomunisti amuuzie siraha kali adui bepari, polisi wa USA great lakes? Usigeuze mada hizo ndizo zetu hatudanganyiki kuonesha kila kitu. Tunaonesha trailer zile kwa kuwa tunajua adui yetu yuko vipi na ishu ya Uganda achana nayo hatuna noma nae afanye ya kwake. Na anatutambua hawezi kujichanganya kumsaidia ----- akapoteza maslahi yake kwani damu za kiTZ zilizozaliwa 1978/79 ni makomando tosha ndani ya Jeshi lake.
 
Swadakta Mkuu, Hebu Endelea Kuwaweka Sawa Wajinga Wajinga Humu Wasiojua Na Wanabaki tu Kukurupuka Na Kushadadia Huku Wakiwa Hakuna Wanachokijua Kuhusu Rwanda, RPF na Kamanda PK.

acha kupotosha na kudangnaya watu humu...hujui lolote juu ya Tanzania na mambo yake....Muulize huyo kagame yaliyojiri hapo kigari mwezi march.....akikujibu swali hilo hapo juu muulize pia watu wake wa karibu kabisa toka idara yake ya kijasusi wako wapi ....na kwa nini wamekimbia? na kwa nini wame defect?....akikujibu hayo maswali muulize tena nini kilitokea kwa wale aliojaribu kuwatuma Tz mwezi april na wakalishwa ''truth serum'' baada ya kuwa wakaidi na kueleza kila kitu juu ya rwanda na mipango yake.....akikujibu maswali hayo muulize kwa nini kwa miezi sita mfululizo akiwa ndnai ya kigali anahamisha makazi na sehemu za kulala?!!

acha kabisa kupotosha watu humu na story zako za kutunga tunga....na kuunganisha unganisha vipande vya habari ..
 
wewee s-30 ni stealh fighter jet hao wasouth africa wenyewe hawana ndo iwe uganda hiyo ni high technological jet inayohitaji higher trained pilot na utunzaji wa hali ya juu so acha kutudanganya isitoshe hata akiwa nayo haimasaidii mana afrika mashariki kenya ni nchi ya kwanza yenye uwezi katika medani ya vita za angani lakin si lolote si chochote kwa TZ maana tunakila kitu cha kuzuia mashambulizi ya anga kama tulivyozioa zile sholder aircraft missile na anti-aircraft missile
 
- Kukataliwa kwa Balozi ni kawaida sana kwenye Jumuiya ya Kimataifa, Nyirabu alikataliwa USA kwa sababu alikuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu iliyoungua Duniani Wamarekani wakamkataa, haikutangazwa so wala sio ishu ya ajabu ila kwa sababu hali ya hewa kwa sasa na Rwanda sio nzuri sana ndio maana inataka kuwa ishu lakini kwenye Jumuiya za kimataifa wala iso ishu!!

Le Mutuz System

Oya Le Mutuz Wewe Nakujua Ni Mwana MBUMBUMBU Mwenzangu ( Simba Sports Club ) Mkuu Upo Upande Gani?
1. Simba Chai.
2. Simba Futari.
3. Simba Powa.
4. Simba Bendera.
5. Simba Uchungu.
6. Simba Misifa.
7. Simba Mbumbumbu.
Nakuaminia Mtoto Wa Aliyetaka Kuiuza Tanzania Kwa Waarabu Kipindi Kileeeeeeee.......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hahahah anachekesha hebu asimame mbele ya mtut wa bunduki wa china aone hajaona zile j20 jet fighter za china ambazo marekan keshaanza kuziogopa na inaaminika hadi 2016 china itampiku mmarekani katika masuala ya anga kwa kuwa na dhana bora na za kisasa zaid dunian
 
Sasa Unachokijua Wewe Ni Kipi????? Inaonekana Kumbe Huwa Unachukia Sana Ninavyotoa Makombora Humu tena Ya Ukweli. Na Nikumbushe Ni Wapi Nimeidharau TISS Yetu au JWTZ Zaidi tu Ya Mimi Kusema Ukweli na Kutoa tu Tahadhari? Nani Aliyekuambia Kuwa Ninapenda Mapigano au Chuki au Vita Kati Ya Rwanda na Tanzania? ACHA KUDANDIA TRENI KWA MBELE MBWIGA ( JUHA ) MKUBWA WEWE!!!!!!!!!!!!!!!! Mbona Huwakaripii Na Hao Wanaochochea Rwanda Ipigwe na Tanzania? au NDIYO " KUNYA ANYE KUKU na AKINYA BATA tu KAHARISHA? " Namalizia Kwa Kukuambia tena Kuwa HUNA UWEZO WA KIJESHI WALA WA KIUSALAMA WA KUSHINDANA na Rwanda na Nina Sababu Zangu Takriban Saba tena Za Kiushahidi Wa Kijasusi Wa Kutoka Rwanda na Tanzania ila Kwa Maadili Yangu, Ya Nchi Yangu na Kwakuwa Mimi Ni Mpenda Amani na Utulivu Sizitaji na Kila Siku Nimekuwa Nikiomba Mahusiano Ya Kidiplomasia Baina Ya Dar es Salaam na Kigali Yarudi Kama Kawaida na Tushirikiane Kwani Wanyarwanda Wanatuhitaji na Sisi Watanzania Tunawahitaji Wao.

Wewe gentamycine ukiondoa uhodari wako wa kutukana huna lolote material wise yaani uko shallow kweli.. Cjui lkn kikawaida matatizo kama yako yanaanzia mbali sana katika ukoo,not from no where but it from somewhere. Ushauri..acha jazba na acha kabisa kutumia lugha za matusi kwa wenzio.
 
Wenye akili za kijinga walizaliwa wajinga. Tanzania ilimkataa barozi wa ujerumani hapa tanzania aliyetokea kenya bila taarifa, walisema kwa kifupi tuu za usalama. Leo kagame kakataa wenu kelele kibao kama mc wa kigodoro.
 
kwanza jeshi la marekani halijaenda nigeria usitupotoshe isipokuwa gavana mc cain wa marekani alichokisema ni kuwa kama wangepata tu fununu ya walipokuwapo hao wasichana bac marekani haitasubiri ruhusa ya serikali ya nigeria kwenda kuwakomboa bali wataenda kwa vyovyote vile
 
Mkuu MCcain siyo Governor ni Senior Senator wa Arizona.
 
Mkuu Kichuguu nafikiri njia bora zaidi ni Tanzania kuwafukuza maafisa ubalozi wote wa Rwanda,halafu tunaingia pale makao makuu ya EAC tunamtimua Sezibera na wanyarwanda wote kuanzia level ya juu mpaka mfagia,madereva kama wapo wote fukuza.

Nafiki njia moja nzuri sana ni kwa Tanzania pia kumkataa balozi wa Rwanda, halafu yanakwisha; inaitwa reciprocity
 
Last edited by a moderator:
acha kupotosha na kudangnaya watu humu...hujui lolote juu ya Tanzania na mambo yake....Muulize huyo kagame yaliyojiri hapo kigari mwezi march.....akikujibu swali hilo hapo juu muulize pia watu wake wa karibu kabisa toka idara yake ya kijasusi wako wapi ....na kwa nini wamekimbia? na kwa nini wame defect?....akikujibu hayo maswali muulize tena nini kilitokea kwa wale aliojaribu kuwatuma Tz mwezi april na wakalishwa ''truth serum'' baada ya kuwa wakaidi na kueleza kila kitu juu ya rwanda na mipango yake.....akikujibu maswali hayo muulize kwa nini kwa miezi sita mfululizo akiwa ndnai ya kigali anahamisha makazi na sehemu za kulala?!!

acha kabisa kupotosha watu humu na story zako za kutunga tunga....na kuunganisha unganisha vipande vya habari ..

Yes, kuna watu wana credibility za kuongea humu........maana niliona watoto wanaleta hadithi kwenye mambo serious.......Kudos mkuu.
 
acha kupotosha na kudangnaya watu humu...hujui lolote juu ya Tanzania na mambo yake....Muulize huyo kagame yaliyojiri hapo kigari mwezi march.....akikujibu swali hilo hapo juu muulize pia watu wake wa karibu kabisa toka idara yake ya kijasusi wako wapi ....na kwa nini wamekimbia? na kwa nini wame defect?....akikujibu hayo maswali muulize tena nini kilitokea kwa wale aliojaribu kuwatuma Tz mwezi april na wakalishwa ''truth serum'' baada ya kuwa wakaidi na kueleza kila kitu juu ya rwanda na mipango yake.....akikujibu maswali hayo muulize kwa nini kwa miezi sita mfululizo akiwa ndnai ya kigali anahamisha makazi na sehemu za kulala?!!

acha kabisa kupotosha watu humu na story zako za kutunga tunga....na kuunganisha unganisha vipande vya habari ..
Afande, samahani.
Kwa hiyo Siwa ni Jasusi?
 
Back
Top Bottom