Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

na kuna watu humu JF wanatumiwa na RPF kumchafua kikwete na Tanzania kwa ujumla.
Hapa achafuliwi mtu bali anaambiwa ukweli,jiulize tu Rwanda wamejuaje uyo balazo ni shushushu,PK anajua hadi Jk kitanda chake kimegeukia upande gani..
 
Hivi mlitegemea nini kumpelekea Kagame jasusi?
Huyu anatujua mpaka mambo yetu ya ndani.

hajui chochote. Salma kikwete mhutu, Mtikila ana wabunge bungeni.....taarifa kibao kwenye state media za Rwanda zina factual errors zinazoashiria hawajui chochote!
 
mkuu mbona husimamii maneno yako nyuma ulisema hatuna zana bora za kivita hata vita na uganda tulilshinda kutonakana na uzalendo na umoja wetu nw unasema tz ni bora katika ukanda huu na duniia nzima? bora katika nni?

wewe vipi, umevurugwa nini? kama hujui ni bora katika nini kwanini unalalamika? usiwe kama PAKA
 
Tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kumvuruga huyu bwana kisaikolojia..mbaya zaidi hii issue ya muungano na yale mavifaru! niliwahi kusema humu..The guy is simply schizophrenic! kudos JK!

Cc: Bobuk huna haja ya kutamani kumtwanga wakati tumekwisha mtandika kiakili!!
kwa nini hayo majeshi ya maonyesho hayajaenda kumsaidia rais wa nigeria kutafuta wale watoto wa shule waliotekwa na boko haram? au wao ukomandoo wao ni wa maonyesho tu!?
 
Hapa achafuliwi mtu bali anaambiwa ukweli,jiulize tu Rwanda wamejuaje uyo balazo ni shushushu,PK anajua hadi Jk kitanda chake kimegeukia upande gani..

blah blah tu hamna chochote, spy akishakuwa balozi hana ishu tena. Ni kama vile sasa hivi uwe na wasiwasi na membe au mizengo pinda kwa sababu wote waliwahi kuwa usalama wa taifa. Rwanda inaogopa, huo ndio ukweli.
na kwanza hakuna ushahidi wowote kuthibitisha kuwa huyo balozi aliwahi kufanya kazi TISS
 
Huyu jamaa anatuogapa wakuu anatujua vyema sana tulivyomfulumusha kule goma na M23 yake lazima aogope akifanya uzembe yeye mwenyewe tutamny'oa pia..!!
 
Rwanda haijakataa ubalozi na Tanzania, imemkataa mtu binafsi kwa ajili ya sababu walizozitoa na ina uhuru wa kufanya hivyo. Tatizo lenu Wabongo ni kulalamikia kila jambo hata la kimsingi.
CC: kadoda11 Geza Ulole Bulldog

Nani kasema tunalalamika? Hyo ni double standard ya serikali ya kigali.

Ni kwamba wanaishi kwa hofu, na wamejuaje kuwa jamaa ni jasusi?
 
WHEN I MEET JK, I WILL KICK HIM..... KAGAME

  • A%20S%2013.gif


umutama!...amahore neza!!...we li jamaa ni li kimbizi!!..nimekushtukia mapema!!
 
Zile siraha zote kwa sasa hakuna kiwanda hata kimoja kinacho unda, Uganda wana Ndege bora kabisa kutuzidi


uganda wana hii SU-30 kutoka Urusi,
Na wao kwani wametengeneza wenyewe? Africa hata bawa la ndege kama hiyo hatujaribu kutengeneza. Ningejivuna sana kama siku ile ya muungano nyumbu (made in TZ) ndiyo magari ambayo yangebeba silaha hata kama nyingi zingekua za kununua.
 
Moja ya magazeti yaliyochangia kukuza huu mgogoro wa Tanzania na Rwanda ni gazeti la Mtanzania

Mimi kila siku nawaambia watu tzee weredi katika habari hakuna lolote...vinatumika kisiasa na kichama chama ivi..magazet engine upinzani mengine chama tawala...alaf oooooh tunataka Uhuru was vyombo vya habari....iv ingekuwa Korea kaskazini mmiliki angekuwa kibra saiv
 
Mashushushu Walikuwepo Miaka Ya 60,70,80 Na Wakaishia Mwaka Wa 90 Hapo na Tangia Hapo hadi Leo Huna Effective Intelligence Agency Zaidi Tu Ya Kupeana Ajira Za Vimemo, Kujuana na Pasipo na Hata Vetting Kwa Mlengwa na Kikubwa Zaidi Vijana Wenu Wa Siku Hizi Wa TISS Wamejaa Misifa, Ushamba Na Hawana hata Maadili Ya Kikazi. Nimezaliwa Humo, Nimekulia Humo na Napajua Kindaki Ndaki Na Wanapokosea tu Ni ktk Suala Zima La Maadili. Ukiachilia Mbali PSU na Kidogo Watu wa Operation Hawa Ndiyo Wana Fanya Kazi Kwa Ueledi Wao na Nawasifu ila Wale Wa Mtaa Wa MKULIMA Makaburini Kino Clain Alipozikiwa Kanumba Ndiyo Bure Kabisa Na Kazi Yao Ni Kujisifia, Kulewa Hovyo na Kubadilisha Magari Kiufahari na Msiojua Ndiyo ktk Ofisi au Idara Hiyo Hiyo PK Anapata Data Zote Nyeti Za Tz. NAMALIZIA TU Kusema Kama Jeshi La Polisi tu Pekee Wamegundulika Askari Zaidi Ya 200 Waliofoji Credentials Zao Hivi Unadhani Huko TISS, JWTZ na Hata PCCB Uozo Huu Haupo? Je ktk Hali Kama Hii Kuna Usalama Hapo? Tuna Uhakika Gani Hao Wanaoingia Na Vyeti Vya Kughushi Siyo Spies Wa Nchi Adui Zetu? Kunahitajika Reform Ya Hali Ya Juu Sana ktk Majeshi Yetu Ya Ulinzi na Usalama Otherwise Nijuavyo Ni Kwamba Tuko UCHI Mno Mbele Ya Rwanda Na Uganda Kiusalama.

As ante kama umekulia usalamani mkuu...koz wengne tunaonaga kwa mbali kazi na makazi yao pale ubungo nyuma ya wizara ya maji na kule makumbusho pia na mbweni......Larkin n kwel wanausalama tzee hakuna lolote....mi nasema intelligence officers kipind cha mwalimu ilikuwa ni zaidi ya urusi.....na pale airport dar asilimia 90 ya tax driverswalikuwa wanausalama
 
Nafikiri kuna haja Serikali katika mitaara ya Elimu za Msingi na Sekondali,kuna haja ya kuingiza Somo la Uzalendo.Maana kuna baadhi ya watu kwenye mambo hata yanayohusu Nchi yetu wao utadhani sio watanzania au hata kama ni watanzania lakini mawazo yao utadhani sijui PUNGUANI.Usipokuwa na uchungu na nyumbani (NCHI) kwako,unadhani nani atakayejali wako?Sasa hata kwenye mambo yanayohusu Nchi watu wanaongea ujinga wa kupitiliza tena wakati mwengine wanatamani nao wawe upande wa pili kutukandamiza TANZANIA ili mioyo yao ifurahi.Shauri yenu mnaowaza ujinga au mnaopenda kutukuza vya JIRANI wakati vya kwenu NYUMBANI (TANZANIA) unavidharau na kuvipuuza kuona kama umezaliwa Tz kwa bahati Mbaya.Lakini ukumbuke "MDHARAU KWAO NI MTUMWA" itafikia hatua ya mtu baki anakuja kumtukana BABA yako nyumbani kwenu na wewe kwa UPUUZI wako,badala ya kumsaidia baba yako ndio unakuwa wa kwanza kumshambulia na hata ikiwezekana kumsaidia mtu baki kumdhuru baba yako.
 
Mkuu nimesema awali kuwa kwenye ukweli tuseme......! Huyo mzee wa watu sio mchezo.....usidhani Rwanda wamejibaraguza tu kukataa bali wanajua maana yake. Wale vibaraka wote waliokimbia 'mjengoni' kuwahi madaraka Rwanda wanamtambua Mzee Siwa.......! Naimaini hata JK alijua watamkataa.....ili Mzee atulie nyumbani bali ashughulikie 'file la Rwanda' akiwa hapa hapa

Ahahaaaaa as ante mkuuu...adili na hilo faili akiwa APA APA hom
 
No nahisi kwa halli iliyokuwepo Kati ya Tanzania na Rwanda atukutakiwa kupeleka mtu alirwhi kuwa mkurugenzi kitengo cha usalama wa taifa hataa kwangu asingeingia. Mbaya zaidi huyo bwana aalaishawahi kutumika kutoa msada wa kiintelligincia kipindi ndoa yetu na Yao aijavunjika. Leo hui amestaafu miaka miwili alafu mnakwepana njeyanchi maraisi then uniletee siwa labda apitie sumbawanga

Ikumbukwe moja ya sababu ni kiusalama. Na wanayohaki

Ni wakati. Sasaa wa mzee kuwakumbuka wale ma brigedia generali nao wakafie uballozin
 
Marekani wana silaha bora duniani lakini hawana jeshi zuri.Kinachopigana jeshini na kushinda ni mbinu,nidhamu,utaifa,uzoefu,uzalendo,uongozi bora,mshikamano.

Mwaka 1978-79 tuliyashinda majeshi ya Amin wa Uganda na hatukuwa na silaha bora kama za Amin.ila uzoefu wetu toka msumbiji,zimbabwe,angola;uzalendo na uongozi bora tukampiga Amin.

Mgawanyiko ndani ya adui ni silaha nzuri,tuliitumia huko uganda.

Kiukweli silaha bora hazishindi vita,vinginevyo Marekani wangeshinda huko Vietnam na Somalia.
 
Back
Top Bottom