LUMULI MALILA
Member
- Mar 21, 2014
- 15
- 2
"The fear of public speaking is greater than the death for most people" Watanzania tunakurupuka kwa kutishwa na mambo madogo na wanaowatisha ni wale mliowaamini kama viongozi ili waendelee kuwatala kifikra.
Cku zote nina wasiwasi na uzalendo wako kama sio uraia wako kabisa,unawezaje kum-praise adui wa nchi yako to that extent? Yaani cjui nisemeje ila in short umenikera sana mimi kama Mzalendo wa nchi hii..! Shame on you...njo nakusubiri
...you are sick!...go and learn how to write in English..Yap this is because Kagame loves his Country unlike our president who doesn't give a fig about our country's security & safety.
Mashushushu Walikuwepo Miaka Ya 60,70,80 Na Wakaishia Mwaka Wa 90 Hapo na Tangia Hapo hadi Leo Huna Effective Intelligence Agency Zaidi Tu Ya Kupeana Ajira Za Vimemo, Kujuana na Pasipo na Hata Vetting Kwa Mlengwa na Kikubwa Zaidi Vijana Wenu Wa Siku Hizi Wa TISS Wamejaa Misifa, Ushamba Na Hawana hata Maadili Ya Kikazi. Nimezaliwa Humo, Nimekulia Humo na Napajua Kindaki Ndaki Na Wanapokosea tu Ni ktk Suala Zima La Maadili. Ukiachilia Mbali PSU na Kidogo Watu wa Operation Hawa Ndiyo Wana Fanya Kazi Kwa Ueledi Wao na Nawasifu ila Wale Wa Mtaa Wa MKULIMA Makaburini Kino Clain Alipozikiwa Kanumba Ndiyo Bure Kabisa Na Kazi Yao Ni Kujisifia, Kulewa Hovyo na Kubadilisha Magari Kiufahari na Msiojua Ndiyo ktk Ofisi au Idara Hiyo Hiyo PK Anapata Data Zote Nyeti Za Tz. NAMALIZIA TU Kusema Kama Jeshi La Polisi tu Pekee Wamegundulika Askari Zaidi Ya 200 Waliofoji Credentials Zao Hivi Unadhani Huko TISS, JWTZ na Hata PCCB Uozo Huu Haupo? Je ktk Hali Kama Hii Kuna Usalama Hapo? Tuna Uhakika Gani Hao Wanaoingia Na Vyeti Vya Kughushi Siyo Spies Wa Nchi Adui Zetu? Kunahitajika Reform Ya Hali Ya Juu Sana ktk Majeshi Yetu Ya Ulinzi na Usalama Otherwise Nijuavyo Ni Kwamba Tuko UCHI Mno Mbele Ya Rwanda Na Uganda Kiusalama.
Tanzania tuna mashushushu wengi. Si ateuliwe mwengine tu kimyakimya aende akalinde maslahi yetu?
A very poor judgement my brother! A spy who has raised to such a high position should not be a threat to the country. An ambassador, in this case, can't be feared just because his background has a connection with intelligence services. How many ministers and other high ranked officials have such connections being Tanzanians or Rwandese and are openly known by the systems of the two countries. Where on earth you can find an embassy which has no intelligence officers among its staff? This is a poor and uninformed intelligence entity which influenced such a decision. He is an ambassador not informer! Come on guys.
Hamna haja ya kumlipizia kisasi huyu mwehu!..dawa ni kutopeleka Balozi mwingine, abakie Francis akikaimu hiyo nafasi. Wakitaka wao ndio wamrudishe rwanda balozi wao hapa nchini...this man (PaKa) is i.d.i.o.t....Halafu bado mnashauri kuharakishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki inayojumuisha Rwanda. Ningekuwa Rais wa TZ ningefunga ubalozi wa TZ kule Rwanda.
Yaani wewe uliona kuna silaha za kutisha mtu pale? Labda kama kuna zingine zilizofichwa lakini kama ni zile tu ni bora tuufyate!!
nakumbuka kagame hakuwepo kwenye sherehe za muungano, alituma mwakilishi, naamini mwakilishi hakumpa boss wake mrejesho wa alichokiona pale uwanjani...i mean maonyesho ya silaha zetu[/QUOTE
Hivi unaziamini products za Mchina?Pole!!!!
Kama unafikiri bidhaa za kichina ni feki simama mbele ya bunduki ya kichina
Yaani wewe uliona kuna silaha za kutisha mtu pale? Labda kama kuna zingine zilizofichwa lakini kama ni zile tu ni bora tuufyate!!
nakumbuka kagame hakuwepo kwenye sherehe za muungano, alituma mwakilishi, naamini mwakilishi hakumpa boss wake mrejesho wa alichokiona pale uwanjani...i mean maonyesho ya silaha zetu
Cku zote nina wasiwasi na uzalendo wako kama sio uraia wako kabisa,unawezaje kum-praise adui wa nchi yako to that extent? Yaani cjui nisemeje ila in short umenikera sana mimi kama Mzalendo wa nchi hii..! Shame on you...njo nakusubiri
Penye ukweli tuseme tuache ushabiki....! Hivi kweli Kagame na kagenge chake cha wahuni unafikiri kweli angejisikiaje kuona yule mzee yuko pale sebuleni kwake....? Muuza gongo hawezi kumpangisha nyumbani kwake askari.....either biashara itakufa au askari ageuke mnywa piwa. Kweli jamaa anaona trojan horse analetwa sebuleni aache kutapatapa? Ni dhahiri Kagame anajua umakini wa yule mzee na kupelekwa kwake Kigali alijua maana yake ni nini......!
.. wapo wengi sana humu!..lakini kikubwa ni kuwapuuza tu!hata kagame ana watu wake jamiiforum wametumwa ili kuwafrustrate watu kwa kauli kama za huyu jamaa mi nishamstukia sio mbongo huyu ila kwa taarifa yako tushakujua
....yaani nimecheka sana na hiyo statement.......ingekuwa vizuri sana kama wangemkubali tu.........na wao wamfuatilie....wakusanye taarifa za activities zake (with caution ofcourse)......halafu wamuumbue/wamchukulie hatua za kisheria....na kumrudisha....otherwise kama ni kweli Wa-Rwanda wamesema hivyo...watakuwa wanatapatapa......na basi bado ni wachanga sana......hilo linaitwa kosa la kiufundi kwa Rwanda kwenye ujasusi......
.....ni sawa sawa na wakati ule Nigeria wangemkataa Balozi Sarakikya......si mnakumbuka ile shughuli ya Biafra!.....au Hayati Major Gen Makame Rashid na timu yake kule Malawi........Balozi hawezi kwenda low kiasi kinachohofiwa na nchi husika......
Kagame amejiimarisha tusimdharau