Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

Nasikiitika watanzania qasionahekima wamwshindwa kuelwa maana ya kumkataa balozi na kukimbilia ainaza silaa tulizonazo
Loh tunyimweutajiri kuliko. Ufahamu
 
Huyu jamaa anatuogapa wakuu anatujua vyema sana tulivyomfulumusha kule goma na M23 yake lazima aogope akifanya uzembe yeye mwenyewe tutamny'oa pia..!!

hii ndio tunaita kubweka kwa umbwa koko,mara goma,mara M23,sasa mnangojea nini kuingia rwanda? jaribuni muone litakavyo timuka vumbi.
 
UKAWA wamekula mpunga kuzunguka nchi nzima kutia ndimu kuua huo umoja na wasipokatazwa uzalendo na umoja utakuwa historia. Silaha kali zinahitajika sana sasa hivi kuliko zamani uzalendo na umoja haupo kuanzia humu JF utaelewa nini namaanisha tena anzia thread hii.

jidanganyeni, WATANZANIA hatuna historia ya kuingia vitani tukiwa na silaha kali sana. Uzalendo na umoja wetu dhidi ya adui ndiyo siri kubwa ya ushindi wetu.
 
Tanzania will never be attacked from the outside.We are superior and we know it.Our enemy is within us. Its our leaders,our neighbor and friends.

The king.
 
Marekani wana silaha bora duniani lakini hawana jeshi zuri.Kinachopigana jeshini na kushinda ni mbinu,nidhamu,utaifa,uzoefu,uzalendo,uongozi bora,mshikamano.

Mwaka 1978-79 tuliyashinda majeshi ya Amin wa Uganda na hatukuwa na silaha bora kama za Amin.ila uzoefu wetu toka msumbiji,zimbabwe,angola;uzalendo na uongozi bora tukampiga Amin.

Mgawanyiko ndani ya adui ni silaha nzuri,tuliitumia huko uganda.

Kiukweli silaha bora hazishindi vita,vinginevyo Marekani wangeshinda huko Vietnam na Somalia.

Nachukia sana kitu inaitwa ignorance wewe unazaidi ya ujinga. Nani alikuambia marekani jeshi lake dhaifu? Ulishawahi kufika hata kenya?

The king.
 
Sasa Unachokijua Wewe Ni Kipi????? Inaonekana Kumbe Huwa Unachukia Sana Ninavyotoa Makombora Humu tena Ya Ukweli. Na Nikumbushe Ni Wapi Nimeidharau TISS Yetu au JWTZ Zaidi tu Ya Mimi Kusema Ukweli na Kutoa tu Tahadhari? Nani Aliyekuambia Kuwa Ninapenda Mapigano au Chuki au Vita Kati Ya Rwanda na Tanzania? ACHA KUDANDIA TRENI KWA MBELE MBWIGA ( JUHA ) MKUBWA WEWE!!!!!!!!!!!!!!!! Mbona Huwakaripii Na Hao Wanaochochea Rwanda Ipigwe na Tanzania? au NDIYO " KUNYA ANYE KUKU na AKINYA BATA tu KAHARISHA? " Namalizia Kwa Kukuambia tena Kuwa HUNA UWEZO WA KIJESHI WALA WA KIUSALAMA WA KUSHINDANA na Rwanda na Nina Sababu Zangu Takriban Saba tena Za Kiushahidi Wa Kijasusi Wa Kutoka Rwanda na Tanzania ila Kwa Maadili Yangu, Ya Nchi Yangu na Kwakuwa Mimi Ni Mpenda Amani na Utulivu Sizitaji na Kila Siku Nimekuwa Nikiomba Mahusiano Ya Kidiplomasia Baina Ya Dar es Salaam na Kigali Yarudi Kama Kawaida na Tushirikiane Kwani Wanyarwanda Wanatuhitaji na Sisi Watanzania Tunawahitaji Wao.
Huna la kuniambia lolote wewe kuhusu usalama wa nchi hii na wala kuhusu rwanda. Angalia comments nilizowahi kuzipost huku kuhusu kagame nenda uzitafute na usome. Usiangalie wala kuhisi uwezo wa watu. Na kama unafanya kazi usalama nyunyi ndio wale walioajiriwa kwa kujuana. Umemaliza hupati ajira mjomba wako anakuvuta usalama. Well siwezi kucomplain sana maana hata ndugu zangu wengi wako huko kwa staili yako hiyo. Kwanza hujawahi hata kufanya ubaloz wowote tanzania kuongea such high intelligence kwahiyo nakufharau. Kingine wewe navyokuona na kukuosma ni mwajitiwa wa jana tu tena kazi yako ni kusimamia utoaji wa vitambulisho vya taifa na usahihishaji wa mitihani . We ni ni uselsess . Napoteza muda wangu kukujibu.kenya hata ujafika unaongela ya rwanda.

The king.
 
nakumbuka kagame hakuwepo kwenye sherehe za muungano, alituma mwakilishi, naamini mwakilishi hakumpa boss wake mrejesho wa alichokiona pale uwanjani...i mean maonyesho ya silaha zetu
Sasa naanza kuhisi hata aliyeamuru siku ya muungano kuonyesha vifaa vya kivita alikuwa na mawazo kama yako, huu ni woga tu! Mwenye busara anaweza kujiuliza kuwa Tanzania itakuwa imepata wapi vifaa hivyo ambavyo nchi nyingine haiwezi kupata, imenunua wapi ambako nchi nyingine haiwezi kununua? inautajiri kias gani ambacho nchi nyinne aiwezi kua nao. Hizi ni tabia za masikini kujisifu, au silaha hizo tumetengeneza nyenyewe? Hata pamba za masikio zinatoka china. Tumia akili, vita ikianza huta pigana na Rwanda pekee.
 
Sasa Unachokijua Wewe Ni Kipi????? Inaonekana Kumbe Huwa Unachukia Sana Ninavyotoa Makombora Humu tena Ya Ukweli. Na Nikumbushe Ni Wapi Nimeidharau TISS Yetu au JWTZ Zaidi tu Ya Mimi Kusema Ukweli na Kutoa tu Tahadhari? Nani Aliyekuambia Kuwa Ninapenda Mapigano au Chuki au Vita Kati Ya Rwanda na Tanzania? ACHA KUDANDIA TRENI KWA MBELE MBWIGA ( JUHA ) MKUBWA WEWE!!!!!!!!!!!!!!!! Mbona Huwakaripii Na Hao Wanaochochea Rwanda Ipigwe na Tanzania? au NDIYO " KUNYA ANYE KUKU na AKINYA BATA tu KAHARISHA? " Namalizia Kwa Kukuambia tena Kuwa HUNA UWEZO WA KIJESHI WALA WA KIUSALAMA WA KUSHINDANA na Rwanda na Nina Sababu Zangu Takriban Saba tena Za Kiushahidi Wa Kijasusi Wa Kutoka Rwanda na Tanzania ila Kwa Maadili Yangu, Ya Nchi Yangu na Kwakuwa Mimi Ni Mpenda Amani na Utulivu Sizitaji na Kila Siku Nimekuwa Nikiomba Mahusiano Ya Kidiplomasia Baina Ya Dar es Salaam na Kigali Yarudi Kama Kawaida na Tushirikiane Kwani Wanyarwanda Wanatuhitaji na Sisi Watanzania Tunawahitaji Wao.

Acheni Uongo Wenu Nyie

H
abari zozote zinazohusu usalama ambazo zimeandikwa humu zote ni majungu tu. Hakuna habari zozote zenye ukweli zinaweza kuwekwa wazi humu. Kwanza kwa faida ya nani? ili nini kitokee? na kwa nini? Sikatai kwamba nchi na nchi hupishana au kutofautiana hilo siyo jambo la ajabu. Cha ajabu ni hizo habari za siri mnazosema mnazijua. Mimi nasema ni uongo hakuna anaejua lolote humu, zote ni polojo za mchana. Acheni kudanganya akili za wasiojua.
 
kwa nini hayo majeshi ya maonyesho hayajaenda kumsaidia rais wa nigeria kutafuta wale watoto wa shule waliotekwa na boko haram? au wao ukomandoo wao ni wa maonyesho tu!?

Majeshi ya nchi hayapelekwi nje ya nchi husika kienyeji enyeji...........labda huko Somalia, Russia nk
 
Katika operesheni karibia zote..... maadui walikuwa na silaha kali kutuzidi, wengine walidiriki kusema watakunywa chai Mwanza na chakula cha mchana Dar es salaam ( yaani miji hiyo itatekwa in a single day) kilichowapata ni historia.
......UMOJA....MSHIKAMANO.....UMAKINI.....USHUPAVU....UTAYARI....UZALENDO.....
Hizo tajwa hapo juu laaima adui ainamishe kichwa chini, kwa wale wadhanio kwamba tutashindwa na adui yeyote achezeaye UTU wetu namuasa kuwa ndoto za mchana huwa zipo ila tu aamke katika usingizi huo......
 
Marekani wana silaha bora duniani lakini hawana jeshi zuri.Kinachopigana jeshini na kushinda ni mbinu,nidhamu,utaifa,uzoefu,uzalendo,uongozi bora,mshikamano.

Mwaka 1978-79 tuliyashinda majeshi ya Amin wa Uganda na hatukuwa na silaha bora kama za Amin.ila uzoefu wetu toka msumbiji,zimbabwe,angola;uzalendo na uongozi bora tukampiga Amin.

Mgawanyiko ndani ya adui ni silaha nzuri,tuliitumia huko uganda.

Kiukweli silaha bora hazishindi vita,vinginevyo Marekani wangeshinda huko Vietnam na Somalia.

Hongera mkuu, kumbe tunawaza pamoja, baada ya kuandika hapo juu ---- kusoma nimekuta mabandiko yanarandana......
 
Ni mashindano ya silaha za kijeshi au hoja za kidiplomasia? Mtu yeyote mstaarabu hawezi kuzungumzia na kushabikia vita, madhara yake ni makubwa na mabaya!!
 
Tanzania at 50 sambaza upendo acheni kushabikia vita nyie watoto wa miaka ya 94 kuja juu
 
Back
Top Bottom