majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 813
Tupeni wasifu wa huyo Mussa Siwa
endelea kuamini kichwani mwako ni jembe, pindi kikinuka ndiyo utaujua vyema wasifu wa babu huyu.
Tupeni wasifu wa huyo Mussa Siwa
....yaani nimecheka sana na hiyo statement.......ingekuwa vizuri sana kama wangemkubali tu.........na wao wamfuatilie....wakusanye taarifa za activities zake (with caution ofcourse)......halafu wamuumbue/wamchukulie hatua za kisheria....na kumrudisha....otherwise kama ni kweli Wa-Rwanda wamesema hivyo...watakuwa wanatapatapa......na basi bado ni wachanga sana......hilo linaitwa kosa la kiufundi kwa Rwanda kwenye ujasusi......
.....ni sawa sawa na wakati ule Nigeria wangemkataa Balozi Sarakikya......si mnakumbuka ile shughuli ya Biafra!.....au Hayati Major Gen Makame Rashid na timu yake kule Malawi........Balozi hawezi kwenda low kiasi kinachohofiwa na nchi husika......
duh hayo makombora mawili yaliyopo chini hapo yakitua si htari tupu
nigeria kamwe huwezi kuifananisha na rwanda ya PAKA, kagame sasa ni sawa naa mfa maji!
watusi kwa kujitekenya na kucheka wenyewe hamjambo! MWANAUME NI VITENDO NA watanzania kwa hili sisi ni mfano wa kuigwa katika ukanda huu, afrika na dunia nzima!
mfa maji hiyo unaijua wewe kwasababu wanainchi wanampenda sana
Rwanda haijakataa ubalozi na Tanzania, imemkataa mtu binafsi kwa ajili ya sababu walizozitoa na ina uhuru wa kufanya hivyo. Tatizo lenu Wabongo ni kulalamikia kila jambo hata la kimsingi.
CC: kadoda11 Geza Ulole Bulldog
tatizo cc watz ni wazembe sana hasa prezd wetu anachekacheka tu
sema wauaji wenzake wa kitusi wanampenda na si wanyarwanda hilo nalikataa kwa zaidi ya asilimia mia
Akili zako nyingi na za kiusalama. Kama ningekuwa nahusika na ku-recruit wa-TISS, hakika ningeku-pm nikupe kazi mara moja.
huyo huyo huku anacheka anaetua mtu ambae huyo asiyecheka anaogopa! How do u make of it? MAHORO
aah, MBONA INAELEWEKA, BILA YA KUMCHAPA HUYU JAMAA HAWEZI KUWA NA ADABU.
Very true!.....something need to be done......tena haraka....ni hatari sana kukuta umetekwa bila kujijua.......vimemo vinatumaliza sana........
Kwani mmelazimishwa kuwa na Ubalozi huko?[/Q
JARIBU KUUMIZA KICHWA KIDOGO MTOTO WA KIUME UTAPATA JIBU!
kweli watanzania ni wazembe na tunajichekesha sana ndiyo maana tukaweza kuwatoa rwanda millitary wing ya m 23 kule goma kwa kichapo cha mbwa mwizi sokoni
Kwani mmelazimishwa kuwa na Ubalozi huko?[/Q
JARIBU KUUMIZA KICHWA KIDOGO MTOTO WA KIUME UTAPATA JIBU!
TZ WANAJIPENDEKEZA KWA KAGAME