Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

Rwanda yamkataa Balozi wa Tanzania

- Kukataliwa kwa Balozi ni kawaida sana kwenye Jumuiya ya Kimataifa, Nyirabu alikataliwa USA kwa sababu alikuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu iliyoungua Duniani Wamarekani wakamkataa, haikutangazwa so wala sio ishu ya ajabu ila kwa sababu hali ya hewa kwa sasa na Rwanda sio nzuri sana ndio maana inataka kuwa ishu lakini kwenye Jumuiya za kimataifa wala iso ishu!!

Le Mutuz System
wewe sijui ulizaliwa kabla ya muda, sio issue kivipi? Kama Musa ni Jasusi kweli unaweza kusema kukataliwa kwake sio issue? Kwa nini Tanzania itume Jasusi Rwanda? Kwa nini rwanda iko makini sana na barozi yetu? hauoni kama kuna issue hapo?
 
Mkuu Kichuguu nafikiri njia bora zaidi ni Tanzania kuwafukuza maafisa ubalozi wote wa Rwanda,halafu tunaingia pale makao makuu ya EAC tunamtimua Sezibera na wanyarwanda wote kuanzia level ya juu mpaka mfagia,madereva kama wapo wote fukuza.

Reciprocity; iwapo huamini uteuzi wetu kuja kwako, basi na sisi hatuamini uteuzi wako kuja kwetu. Unajua mwizi huwa yuko makini sana na watu wengine akidhani kuwa wao pia ni wezi. Hatua hii ya Kagame inaonyesha wazi kuwa yeye ubalozini pale ameweka maspy wengi, ndiyo maana anadhani kuwa Tanzania nayo inaleta maspy.
 
Reciprocity; iwapo huamini uteuzi wetu kuja kwako, basi na sisi hatuamini uteuzi wako kuja kwetu. Unajua mwizi huwa yuko makini sana na watu wengine akidhani kuwa wao pia ni wezi. Hatua hii ya Kagame inaonyesha wazi kuwa yeye ubalozini pale ameweka maspy wengi, ndiyo maana anadhani kuwa Tanzania nayo inaleta maspy.

Wewe una uhakika gani kwamba siwa sio spy?
 
Hivi kwanini tusichichape kavu kavu? Kagame must go, it is time now.
Wale jamaa hawana ndege ya kivita hata moja. Wanategemea zaidi ngumi na askali wa miguu (infantry) ambao TZ ndiyo kiboko Africa Nzima
.
 
nakumbuka kagame hakuwepo kwenye sherehe za muungano, alituma mwakilishi, naamini mwakilishi hakumpa boss wake mrejesho wa alichokiona pale uwanjani...i mean maonyesho ya silaha zetu[/QUOTE

Hivi unaziamini products za Mchina?Pole!!!!

Weee mchina kwenye silaha hana feki unazijua na mwaka wa kutengenezwa kwake hadi Mareiani wanatumia silaha za kichina
 
Kama hamjui Musa Siwa kuwa ni jasusi bobezi ,tafuteni taarifa za timu ya JK mwaka 2005 mtandao ulisukwa na nani na kwanini Musa Alipelekwa ubalozini Jereman......
 
acha kupotosha na kudangnaya watu humu...hujui lolote juu ya Tanzania na mambo yake....Muulize huyo kagame yaliyojiri hapo kigari mwezi march.....akikujibu swali hilo hapo juu muulize pia watu wake wa karibu kabisa toka idara yake ya kijasusi wako wapi ....na kwa nini wamekimbia? na kwa nini wame defect?....akikujibu hayo maswali muulize tena nini kilitokea kwa wale aliojaribu kuwatuma Tz mwezi april na wakalishwa ''truth serum'' baada ya kuwa wakaidi na kueleza kila kitu juu ya rwanda na mipango yake.....akikujibu maswali hayo muulize kwa nini kwa miezi sita mfululizo akiwa ndnai ya kigali anahamisha makazi na sehemu za kulala?!!

acha kabisa kupotosha watu humu na story zako za kutunga tunga....na kuunganisha unganisha vipande vya habari ..

Mkuu inamaana mnamfuatilia PK hadi anapolala ,mnataka kumchomoa nini?
 
Hapa achafuliwi mtu bali anaambiwa ukweli,jiulize tu Rwanda wamejuaje uyo balazo ni shushushu,PK anajua hadi Jk kitanda chake kimegeukia upande gani..

Ukweli upi, Dunia hii kujua mtu ni shushushu mbona ni rahisi tofauti na unavyofikiria. Jua ya kwamba vyuo vingi vya ushushushu husomi peke yako, sasa hapo kuna usiri gani wa kutojulikana, kwa wenzetu waliokwenda Urusi wana marafiki karibu Afrika nzima, wakijuana kwa umahiri wao wa ushushushu.
 
Wewe una uhakika gani kwamba siwa sio spy?

Swali lako silielewi, kwani ukitumia vigezo kuwa kwa vile aliwahi kuwa Jasusi kwa hiyo akienda huko atakuwa anafanya kazi za kijasusi, badi utabakisha watu wachache sana kwenye serikali ya Rwanda ambao wataruhusiwa kufanya kazi nchi za nje kwani wengi wao waliwahi kuwa wanajeshi.
 
asitupande vichwa huyu kagame, kama hataki mahusiano mema na tanzania basi tusibembeleze naye amuondoe balozi wake hapanchini.

Umesahau Tulimkataa yule Balozi wa Ujerumani aliyekuwa KENYA kuletwa BONGO; MBONA UJERUMANI hawakuvunja Uhusiano?

Yaani... Kikwete anawafanya Msiwe wastaarabu hata kidogo NO DIPLOMACY eh?
 
Unautaalamu wowote au ukaribu na mambo ya army au tu unapenda kudharau nchi yako kama wale wwasemao bora angekua mbwa ulaya kuliko kuwa rai africa! sio kila kila kitu ni politics jaribu kupima maneno yako sijui kama unaelewa hata top ten ya African Strong Army kuwa Tanznia ni no. 6 kwa takwim za mwaka 2013. na sio kila bidhaa ya mchina ni feki hapana ni kwa sababu user wengi ni wa kipato cha chini na matumizi yao mengi yanaendana na kipao chao mfano simu feki ila katika maisha mengine ambayo ni ndoto kwako china wanateneneza bidhaa bora zenye viwango kulingana na muhitaji, wana export usa , hata hizi Ak47 karibu zilizoenea duniani kote ni chines made sio zile za Rusia, andika jambo ukiwa unauhakika usidharau usichokijua bora jidharau wewe kukosa kujua.
 
unautaalamu wowote au ukaribu na mambo ya army au tu unapenda kudharau nchi yako kama wale wwasemao bora angekua mbwa ulaya kuliko kuwa rai africa! Sio kila kila kitu ni politics jaribu kupima maneno yako sijui kama unaelewa hata top ten ya african strong army kuwa tanznia ni no. 6 kwa takwim za mwaka 2013. Na sio kila bidhaa ya mchina ni feki hapana ni kwa sababu user wengi ni wa kipato cha chini na matumizi yao mengi yanaendana na kipao chao mfano simu feki ila katika maisha mengine ambayo ni ndoto kwako china wanateneneza bidhaa bora zenye viwango kulingana na muhitaji, wana export usa , hata hizi ak47 karibu zilizoenea duniani kote ni chines made sio zile za rusia, andika jambo ukiwa unauhakika usidharau usichokijua bora jidharau wewe kukosa kujua.

wa kuelewa atakuelewa!
 
hakuna haja ya kumfukuza bali unatakiwa ujue dont argue with a fool people might not differentiate, kagame sio nchi ya Rwanda bali sisi tunahitaji kuendelea na ushirikiano na Rwanda yeye atapita kama alivyoikuta Rwanda na sisi Tz ndio kiini cha ukombozi Africa na ni chanzo cha muungano ambao ni jambo gumu kufanikiwa katk nchi zilizowahi zilifel ila sisi ni mfano hatutagombana na Rwanda bali na Kagame na mwisho wake mkubwa mbaya, amekua na uadui na South Africa, USA, Tanzania, DRC Congo, unaelewa kwanini, dont follow politics go deep utajua ukweli Tanzania ni strong and super power country in among best countries in the world kwenye security achilia mbali uongo eti ya mwisho kiuchumi sio kweli.
 
Akili zako nyingi na za kiusalama. Kama ningekuwa nahusika na ku-recruit wa-TISS, hakika ningeku-pm nikupe kazi mara moja.

Kaka jamaa hana lolote alijualo kuhusiana na TISS
TISS ni idara ingine kabisa ambayo huwezi kuijua yote
Ukiwa raia kama huyo ---- ndio kabisa utaishia kujua story za mtaani
Col Kaboyoka liyekuwa mtu wa TISS sio kwamba anaijua sana idara
Ni mpumbafu mwingine tu

Bazazi!
 
Back
Top Bottom