28mkorinto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 416
- 204
Kakwambia Nani acha ushabik wa kijinga wewe Russia hasubutu kugusa nchi yoyote ya NATO coz anaelewa ugumu wakeUrusi hahitaji washirika Wengi kwanza wa kazi gani! Mataifa ya barani Ulaya yote yanajua Urusi ana uwezo wa kuwamaliza ndani ya Masaa au Mwenzetu hujui sababu za kuanzishwa kwa Umoja wa NATO?