Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

a30361cd48331ed05c17a8b4c5d44f53.jpg
propaganda
 
Nakesha usiku Wote huu hayo makombora ya nuclear yalipuliwe tufe sote na hao wanaotutishia kutukamata...

Lipueni jamani
 
Yes nimeingia fox news nikaipata kama breaking news.
kwa wafuatiliaji hiyo meli ilivuka istabul asubuhi ya saa mbili ikija mediterrania na ilipaswa kufika jioni pale syria,adimiral Griogorovich ilitanguliwa na Admiral Nikolay filchenkov ambayo ni landing craft ambayo yenyewe ilivuka instabul jana jioni .

Leo pia Russia ilishambulia palepale palitokea tatizo la chemical weapons,ikumbuke eneo hilo liko chini wa waasi wanaofadhiliwa na uturuki.
Syria airstrike: Russia retaliates after US airstrikes | Daily Mail Online
 
hv kwanini wazungu wako obsessed na vita sana? kuna mtu anaweza kunisaidia hilo
 
Aliyoyasema kuhusu Syria na anayofanya sasa hivi ni tofauti kabisa! Tuombe tu mrusi akae pembeni vinginevyo maisha yatabadilika sana shuhudia bei ya petroli itakavyopanda na hivyo kupandisha bei ya kila kitu.

Kila siku nasema wazungu ni wanafiki ni hakuna kifani,

Wanafatiwa na wanasiasa wote (awe mtoto, kijana ama mtu mzima) akianza tu siasa baasiiiiii hesabu hakuna mtu hapo, maana atakuwa mnafiki hadi juu ya nafsi yake mwenyewe!!

Mfano , ndiyo huyo Trump kuhusu Syria , Obama kuhusu kufunga gereza la Guantanamo hicho ndicho kiwango cha unafiki vha wazungu wote duniani wengine tunafatia tu!!...

Ila hii vita hii, nahisi dunia kupinduliwa aiseee!!
 
Urusi hana vitu,vyombo vyake vingi vilitengenezwa kabla ya haijavunjia.kwa sasa hana vyombo basi tu ni putin ana amini anaweza zuia vita hii sababu syria ni njia mija wapo wa kuelekea mwisho wa dunia.
hiyo meli ni mpya,imeingia katika service mwaka 2016,inatumika russia na india,hiyo meli ilikuwepo syria wiki iliyopita kabla hajaondoka kwenda blacksea kushiriki mazoezi ya kijeshi na meli za uturuki na iliitwa kurudi syria baada ya kuwepo huko blacksea kwa siku tano tu
 
Vitabu vitakatifu vilishatabiri hilo kwa wafuatiliaji wazuri watanielewa.Syria ndio itakuwa chanzo cha mwisho wa Dunia. Mataifa yote yataenda kupigana Syria na kulipuka kwa vita itakayoiangamiza Dunia . Tunaona huko ndio walipo IS wapiganaji kutoka kila kona ya Dunia wapo huko. Marekani na Urusi wapo huko
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hii issue ya watu wanaokutana faragha na kupanga mbinu za kuihadaa dunia kwa vita za kutengeneza sijui itaisha lini?Yaani Trump ma Puttin wanajifanya hawajuani kumbe lao moja.Only God Knows...
 
Hata uingereza ilikuwa super power hapo awali na ikapotea kwenye usuper power enyi Marekani liangalieni hili
 
Hii issue ya watu wanaokutana faragha na kupanga mbinu za kuihadaa dunia kwa vita za kutengeneza sijui itaisha lini?Yaani Trump ma Puttin wanajifanya hawajuani kumbe lao moja.Only God Knows...

Interesting, mkuu umenifanya niwaze kidogo. Trump alivyokuwa anam defend Putin tofauti na viongozi wengine wa Magharibi, halafu hapa Russian warship inasogea kwenye eneo la tukio, nawaza kuna la zaidi au ni muscle flexing tu.
 
Chess game began.. Lets wait and enjoy the show..
It's not something to be enjoyed unless you don't know its implications! The third world war is around the corner! No country will be exempted! The formula of any world is: "You are either with us or against us"
Neutrality is never accepted!
Hence every country becomes the target! Nothing to be enjoyed!
 
Interesting, mkuu umenifanya niwaze kidogo. Trump alivyokuwa anam defend Putin tofauti na viongozi wengine wa Magharibi, halafu hapa Russian warship inasogea kwenye eneo la tukio, nawaza kuna la zaidi au ni muscle flexing.
Wafanyabiashara wana mbinu nyingi sana za kukuza uchumi wao.Mataifa makubwa yapo kibiashara kupitia viongozi wao.Pia mafanikio ni siri sirini.TrumPutin Business.....
 
Back
Top Bottom