Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Muacheni urusi na putin walete pua zao tu,atachapwa na hatafanya lolote lile.

Dah....atachapwa??? Hii siyo sawa na operesheni ya kule Kagera ya kuwasaka wafugaji toka nchi jirani..
 
Baada ya Trump kushindwa kuleta machafuko Marekani kama ilivyokuwa imepangwa na Illuminati kwa kutumia Presidential Decrees zake za kijinga chokozi,sasa anajaribu kete nyingine kama pia ilivyopangwa na Illuminati.And that is, confrontation with Russia,ili hatimaye kuleta WW III.Kama atafanikiwa kwa sasa sijui,lets wait and see.Tusisahau kwamba Trump ni senior member of the Illuminati.
Bila shaka utakuwa msabato
 
tatizo Russia hana washirika wa kuaminika. ni ngumu kushinda vita peke yake. uwezo huo hana.
Urusi hahitaji washirika Wengi kwanza wa kazi gani! Mataifa ya barani Ulaya yote yanajua Urusi ana uwezo wa kuwamaliza ndani ya Masaa au Mwenzetu hujui sababu za kuanzishwa kwa Umoja wa NATO?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kwenye huu Uzi watu wanafurahisha kweli wanavyomdharau Urusi,yani wengine wanamlinganisha na Iraq au Libya.Huku nchi 28 za Ulaya pamoja na Mshirika wao USA Nchi zinazoongoza duniani kwa technologia na Uchumi zinawaza Usiku na Mchana Jinsi ya kukabiliana nae hadi leo hawajabapa suluhisho lakini kwa Mwafrika utasikia aaah urusi hana kitu.
Kweli Wabongo kwa Mahaba hawajambo!
 
Back
Top Bottom