Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
Mbwanda kala mbwanda...
Kwa jina la baba na la mwana na roho mtatifu, Amen.
Naomba ipitie magogoni pale

Samtaimu vita ni mbinu siyo vifaru na nguvu ya pesaTrump ameshafanya linalotakiwa kufanywa na taifa lenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi duniani.......
Hahahahaha jamani ungekua karibu ninge kuchum bureeee, sio kwa kunitabasamisha huku mbele ya watu!!!Kwa jina la baba na la mwana na roho mtatifu, Amen.
Naomba ipitie magogoni pale
Baada ya Trump kushindwa kuleta machafuko Marekani kama ilivyokuwa imepangwa na Illuminati kwa kutumia Presidential Decrees zake za kijinga chokozi,sasa anajaribu kete nyingine kama pia ilivyopangwa na Illuminati.And that is, confrontation with Russia,ili hatimaye kuleta WW III.Kama atafanikiwa kwa sasa sijui,lets wait and see.Tusisahau kwamba Trump ni senior member of the Illuminati.Wakuu meli ya kivita ya Urusi inaelekea ktk uwanjani wa mapambano
Source Fox news
![]()
Unajuaje kama niko mbali, kama una nia onesha tu usisingizie umbaliHahahahaha jamani ungekua karibu ninge kuchum bureeee, sio kwa kunitabasamisha huku mbele ya watu!!!
Na utakuwa ndo mwisho wake.Trump ameshafanya linalotakiwa kufanywa na taifa lenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi duniani.......
Haupo serious mkuuWWW3 ikitokea mwaka huu itakuws poa sana
The US violated agreement otherwise Russian might took some actions very early.urusi afyate tu mkia. kama angekuwa na uwezo kuilinda syria alitakiwa ailinde tangu mwanzo. anasubiri imeshasambaratishwa hajabakiwa na kitu halafu ndio anajifanya kuilinda, si unafiki huo? jaribu kufikiri unaye rafisi anayejiita rafiki yako, anasubiri umepigwa kipigo cha mbwa mwizi ndio anakuja kukulinda wakati alikuwa na uwezo wote kukulinda usitolewe meno...si unafiki huo?
Bora aise hata ikiwezekana wapige nuclear bomb tufe wote duniani, hadi viongozi wote tz. Dunia ianze upya labda itakua dunia nyingine isiyo na manyanyaso kutoka kwa watawalaWakuu meli ya kivita ya Urusi inaelekea ktk uwanjani wa mapambano
Source Fox news
![]()
action yeyote atakayochukua russia haitasaidia chochote. zaidi sana Russia ni mnafiki. kama syria ni rafiki yao walitakiwa kuwalinda kabla jiji lile nililolipenda, jiji lililokuwepo tangu enzi za mtume paulo, halijasambaratishwa. sasaivi lile jiji na majengo yake mazuri ya kizamani yamebaki magofu tu...kuna faida gani kuwa rais kwenye nchi kama hiyo, kuna faida gani kujifanya rafiki unawatetea wakiwa wameshakufa wakati wakiwa hai ulikuwa umejifungia chumbani na kujifanya unafanya mikutano na wabaya wake? unafiki tu kama wa bashite tu.The US violated agreement otherwise Russian might took some actions very early.
Subiri utaona sasa