Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Nahisi hujanielewa. Rudia tena kusoma.


Got you!, nimekuelewa sasa.
If it's the case, hii ni USA vs Russia indirectly. Na hiyo regime change aliyotamka Nikki Haley halafu akajirudi pengine wanataka kufanya kweli.
 
Marekani aache kuonea wanyonge kila siku..kama yeye mwanaume apeleke pua yake North Korea..!
mwanzon ulikuwa unasema hawezi kugusa maana urusi yuko pale
Leo hii urusi wamekuwa wanyonge
Kweli binadam tunachekesha
 
Urusi hahitaji washirika Wengi kwanza wa kazi gani! Mataifa ya barani Ulaya yote yanajua Urusi ana uwezo wa kuwamaliza ndani ya Masaa au Mwenzetu hujui sababu za kuanzishwa kwa Umoja wa NATO?
Ukiangalia kwa upande wa pili maana ya NATO ni kuwa protected na marekani
Maana marekani ndo anasimamia nato kwa asilimia98 kila ki2 na urussi anamuogopa mle mmarekani
 
Hapa duniani Hamna Taifa la kupigana na Murusi,Taifa kwa Taifa.Hata huyo USA hana uwezo wa kupigana na Mrusi akiwa Mwenyewe atatafuta Mshirika lakini Urusi anauwezo wa kupigana na Taifa lolote akiwa Mwenyewe.
Mungu si Athumani,Alipo lipa Taifa Moja Nguvu za kiuchumi,amelipa Taifa lingine nguvu za Kijeshi Isingekuwa hivyo USA angekuwa na vyote angenyanyasa sana huu ulimwengu.
Anapigana sana
Kwan IRAQ England ilichangia nn cha maana???
Kujiunga na nchi nyingine ni kama anatafta base ya kukaaliapo na pessa ili asiwe affected kiuchumi
 
a30361cd48331ed05c17a8b4c5d44f53.jpg
RT-Russia Today
Shirika la warussi
 
RT-Russia Today
Shirika la warussi

Naona Warusi wanataka kuwa wajinga sasa
Kwanini wasieleze hayo mengine yalidondokea wapi? Ili tujue ukweli

Wao wanalalamika tuuu mwisho wa siku wanakuja sema kuwa 23 tu ndio yakidondoka hapo
Hawaongelei ndege zilizopigwa au radar yao iliyotunguliwa
 
Upo sahihi. Ule mkataba ulikuwa unainyima nguvu urusi kushambulia ndege au makombora ya marekani. Kwa sasa yupo free kushambulia pamoja na kujitetea kuwa alikuwa analinda mitambo yake ya gharama kubwa iliyowekwa syria. Hata CNN wanachambua wanasema Russia ilikuwa na uwezo wa kushambulia makombora yote ya TOMAHAWK Yaliyorushwa. Pia Putin kaonekana mjanja zaidi kwa kutokukurupuka ili aweze kuusoma mchezo na nia halisi ya US
Maneno ya washindwaji
Mmeshapigwa mnakuja kujitetea kijinga
 
Naona Warusi wanataka kuwa wajinga sasa
Kwanini wasieleze hayo mengine yalidondokea wapi? Ili tujue ukweli

Wao wanalalamika tuuu mwisho wa siku wanakuja sema kuwa 23 tu ndio yakidondoka hapo
Hawaongelei ndege zilizopigwa au radar yao iliyotunguliwa
Ndo nnachokisema kila siku.Km yameanguka si watuonyeshe yalipoangukia maana km kombora la Syria lililotunguliwa na Israel liliangukia Jordan na picha tukaonyeshwa sembuse yaliyoangukia humo Syria. Warusi wakubali tu kwamba US imewashangaza kwa uwezo was Tomahawk kukwepa radar detection.
 
Basi kama wao wanaume watumie tena hizo chems waone watachofanywa na Urusi akiwepo maana si wamezima channel ya nawasiliano
Mitambo yote mikali ya Russia unayoijua wewe iko kule kasoro nuclear related
Na baada ya kupigwa wamelalamika sana tena kabisa na waliambiwa

PICHA
Ni kuwa hawakukubaliana na shambulio hilo. Na since wamecover jeshi kwahio walikuwa wana ruhusa zote za kushambulia hizo missile, hawakuweza maana hazikuonekana kwenye rader zao
 
Hao sio waisrael ambao mungu aliwatetea na kiwaongelea katika vitabu vya dini hawa ni waovu ndio maana wana dini yao inaitwa Judaism wao wanasema yesu ni mtoto wa zinaa hawafai hata kidogo hawawapendi wakrsto wala waislam labda tuwe wabishi tu lakini tukiwa waelewa tutawapinga kwa nguvu zote hawa ni wazungu walio letwa kwa makusudi kwa ajili maalum ya kiutawala
 
Tumesoma sana theory za WW1 na WW2. It's our time to experience WW3! Mshindwe kwa jina la Yesu hatutaki vita.
 
Back
Top Bottom