ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Mkuu mda mwingine acha kupotosha watu. Hv ni wapi Marekani kasema atashambulia njia za ndege kuruka?!tatizo hauko up to date,
huo uwanja unatumika tangu jana na mashambulizi yanapiga kulekule walikosemwa wamepigwa chemical weapons ,na sasa waasi wanaongea kuhusu kuuachia huu mji.
https://pbs.twimg.com/media/C85F55RXsAA9hny.jpg:small[/ing].
Homs
Tangu alhamisi siku ya mashambuliz marekani walitaja sehem ambazo zimeshambuliwa ikiwemo ndege, maghala ya kuhifadhia silaha, rada, air defenses, nk
Na wamarekani wamesema makombora yote yalihit target... Sasa huyo mrusi wako anaesema kwamba hayakuhit target mbona hajatuletea picha ya kombora hata moja lililoanguka njian?!
Maana wanasema makmbora km 30 hayakuhit target yameanguka humohumo Syria, ushahid upo wap?!