Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Nashangaa Waswahili huku tunatoana jasho bure, huu mpango upo siku nyingi kwenye makabrasha yao wazungu kwamba ili ISRAEL iwe salama pale mashariki ya kati , lazima nchi zote korofi na zenye maraisi radical kuipinga Israel waondolewe,Na Marekani na Israel ziwaweke vibaraka wao.

Nchi hizo ni Misri, Libya, Iraq, Iran , Lebanon na Syria,.
Libya, Iraq na Misri walimalizana nao, na sasa ni zamu ya Syria ,miezi kadhaa ijayo wataanza na Iran mara tu baada ya Asad kutoka. Lebanon hana ubavu sana, sababu anabebwa na Syria na Iran.

Nia kubwa nyuma ya pazia ni Israel asibugudhiwe.
 
Long live Israel. Bwana Mungu wa Yakobo akiwa upande wako, nani wa kushindana nawe? Na ameapa hatokuacha kamwe sawa sawa na Neno lake. Mwisho unajulikana kabla ya mwanz haujawepo.. Bwana jina lako libarikiwe. Amen.

Wazungu wamewabrain wash paka mmekua mazezeta
 
Ngoja ajilengeshe atwangwe vilivyo! Dunia nzima kwenye hili inamuunga mkono Trump ispokuwa Russia, labda na china na vile vikorea kask.
Dunia nzima ipi mkuu,mimi simuungi mkono,na naamini wengi wanaojua kinachoendelea duniani hawamuungi mkono.Maamuma ndio wanaomuunga mkono.This is an Illuminati iniated scenario.Sasa kama wewe unawaunga mkono Illuminati na ujinga wao,sawa.Otherwise it seems you do not know what you are supporting.
 
Theoretically dunia nzima inakuhusisha wewe, ila practically nikisema dunia nzima kwenye ishu kubwa kama hii wewe ni exclusive
 
Ukiona baba na mama wanapigana fichama uvunguni zisije zile hasira zikahamia kwako Mungu tusaidie giant nation zikichafuka Africa hatuko salama

Mkuu sisi wala wasitupige mabomu ,wakate tu mirija ya misaada tutajifia wenyewe kwa magonjwa mbalimbali/njaa na mengine mengi..

Vita sio jambo zuri kabisa ,wanapigana wengine athari zinasambaa mpaka kwa ambao hawakuwemo..
 
hiyo meli ni mpya,imeingia katika service mwaka 2016,inatumika russia na india,hiyo meli ilikuwepo syria wiki iliyopita kabla hajaondoka kwenda blacksea kushiriki mazoezi ya kijeshi na meli za uturuki na iliitwa kurudi syria baada ya kuwepo huko blacksea kwa siku tano tu
We jamaa ni muongo balaa
 
Ktk vita huwa wanatumia zana na mbinu au pesa...??
Bosi unajua hata yale madege ya kivita kuya operate wakati wa vita yanagharimu pesa ngapi kwa dakika? Sasa ndio upige mahesabu ya miaka kadhaa. Hako ka vita ketu tu na uganda kalituacha na njaa kubwa
 
Hii vita ya syria inaweza kuchukua miaka hata 50 inabidi kuzoea tu,
kwasasa baada ta Russia kurudisha manowari zake hapo,mmarekani atatulia tena,
laiti kama putin angelegea jana tena tungeshuhudia makombora yakitua syria na regime change ingeanzia hapo,
sasa kina Trump wamepima wakaona putin atakomaa,wameona waishie hapo eti walikuwa wanatuma message tu Assad ajirekebishe.

Wakati yule waziri wa mambo ya nje tayari alishasema ,"Regime change is on,and Assad has no role to play in syria anymore"
 
Urusi hana vitu,vyombo vyake vingi vilitengenezwa kabla ya haijavunjia.kwa sasa hana vyombo basi tu ni putin ana amini anaweza zuia vita hii sababu syria ni njia mija wapo wa kuelekea mwisho wa dunia.
Nakubaliana na ww nilipata sikia kabla vita aijaanza vya Syria Kwamba mwisho wa dunia utaanzia vita vya Syria na mpaka atakapokuja yesu kutangaza haki
Ngoja nisubili allah anipe mwisho mwema
 
Raha ya mrusi ndoo hii,mwanaume kaamua kuingiza meli za vita kazini,kama kweli mmarekani mwanaume ajaribu tena kuishamburia,
 
Raha ya mrusi ndoo hii,mwanaume kaamua kuingiza meli za vita kazini,kama kweli mmarekani mwanaume ajaribu tena kuishamburia,
Hahaha Mbona mwanzo mlisema USA kaufyata Allepo mnaanza kujipa moyo na tu warship ...kama Moscow inataka kuwa Mbagala basi aingie vitani Hhhhhhh Donald J. Drumpf.. The Pentagon King Acha waisome namba ya kiarabu
 
Jana mwenyewe umeona manowari yalienda,ajari tena aona cha mtema kuni,aache kuvizia,marekani ni muoga tu mbona anashitukiza ,mwanaume asema marekani ikirudia kuishamburia inakutana na majibu sahihi
 
Long live Israel. Bwana Mungu wa Yakobo akiwa upande wako, nani wa kushindana nawe? Na ameapa hatokuacha kamwe sawa sawa na Neno lake. Mwisho unajulikana kabla ya mwanz haujawepo.. Bwana jina lako libarikiwe. Amen.
Unachanganya maada nenda Israel sio hapa TZ
 
Back
Top Bottom