simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,699
- 9,591
Smart bomb siyo mchezo. Walenga shabaha wa US nimewakubali.
Sasa Vietnam marekani alishi da vita au? Utachekesha sana!Eti USA ilifeli vita vya ghuba Vietnam. Hiivi huwa ni akili zenu au mnadanganywa na wale watu?
Marekani aliingia syria chini wa mkataba wa 2015 ambapo walikubaliana kuepusha mgongano katika anga la syria. Chini ya makubaliano hayo ni kuwa kila anayeingia anga la syria lazima atoe taarifa kwa mwenzake ili asiruhusu mfumo wake wa ulinzi wa anga kutumika kuepusha mgongano angani! Na ndicho kilichotokea.Hii vita ya syria inaweza kuchukua miaka hata 50 inabidi kuzoea tu,
kwasasa baada ta Russia kurudisha manowari zake hapo,mmarekani atatulia tena,
laiti kama putin angelegea jana tena tungeshuhudia makombora yakitua syria na regime change ingeanzia hapo,
sasa kina Trump wamepima wakaona putin atakomaa,wameona waishie hapo eti walikuwa wanatuma message tu Assad ajirekebishe.
Wakati yule waziri wa mambo ya nje tayari alishasema ,"Regime change is on,and Assad has no role to play in syria anymore"
Unaandika kitu gani mkuu?Ile base ya jeshi ya ndege ya za kivita kurushiwa makombora zaidi ya 50 sio kitu kidogo .Ni uharibifu mkubwa umefanyika dhidi ya majeshi ya Syria.Naona unaandika habari kushabiki zaidi!Hii vita ya syria inaweza kuchukua miaka hata 50 inabidi kuzoea tu,
kwasasa baada ta Russia kurudisha manowari zake hapo,mmarekani atatulia tena,
laiti kama putin angelegea jana tena tungeshuhudia makombora yakitua syria na regime change ingeanzia hapo,
sasa kina Trump wamepima wakaona putin atakomaa,wameona waishie hapo eti walikuwa wanatuma message tu Assad ajirekebishe.
Wakati yule waziri wa mambo ya nje tayari alishasema ,"Regime change is on,and Assad has no role to play in syria anymore"
Upo sahihi. Ule mkataba ulikuwa unainyima nguvu urusi kushambulia ndege au makombora ya marekani. Kwa sasa yupo free kushambulia pamoja na kujitetea kuwa alikuwa analinda mitambo yake ya gharama kubwa iliyowekwa syria. Hata CNN wanachambua wanasema Russia ilikuwa na uwezo wa kushambulia makombora yote ya TOMAHAWK Yaliyorushwa. Pia Putin kaonekana mjanja zaidi kwa kutokukurupuka ili aweze kuusoma mchezo na nia halisi ya USMarekani aliingia syria chini wa mkataba wa 2015 ambapo walikubaliana kuepusha mgongano katika anga la syria. Chini ya makubaliano hayo ni kuwa kila anayeingia anga la syria lazima atoe taarifa kwa mwenzake ili asiruhusu mfumo wake wa ulinzi wa anga kutumika kuepusha mgongano angani! Na ndicho kilichotokea.
Sasa Mrusi ameuvunja mkataba huo na amekata mawasiliano na marekani kuhusu anga la syria. Maana yake ni kuwa kama Marekani atashambulia tena atakutana na mfumo wa ulinzi wa anga wa urusi ukiwa umewashwa! Piga UA Marekani hana ubavu wa kuchezea huo moto!
Kihistoria Marekani huwa hapigi Mara moja tu na kuacha! Lakini kwa syria hana namna hawezi kuuvuka mstari mwekundu uliowekwa na Urusi! Kama alikuwa anapima kina SAA hii keshajua ni MAJI marefu, na atakomea hapo hapo!
Zile ni Cruise Missiles.. pia kati ya 59 NI 23 zilihit target. Hii imeonyesha ni kiasi gani cruise missiles za US zilivyo weak. Uchunguzi unafanyika kujua hizo 36 zilidondokea wapi.Smart bomb siyo mchezo. Walenga shabaha wa US nimewakubali.
Na hapo ndio patakapoibuka WW3. kwa sasa nchi kama Syria na Iran ndio nchi pekee ambazo hazipo kwenye influence ya US. Kwa maana hii Russia anajitahidi sana kuhakikisha hizi nchi zinakuwa chini ya himaya yake so usitegee Russia atakubali Syria au Iran iwe na Rais kibaraka wa US. hiyo haitakuja kutokea. Hao ni RASSIAN ALLIES na ndio maana siku zote anapiga kura ya VETO ili kuzilinda hizo nchi. Sasa hivi RUSSIA Wameannoince ku bolster Syrian air defence system ili usitokee iweze kujitetea yenyewe. Anytime Russia anaweza kushambulia Iraq kama kulipa kisasi kwa Syria maana hata kule Mosul raia wanauwawa na makombora ya US. So usishangae airbases za Iraq zikapigwa kwa style ile ile au kwa ndege za kivita nia ni kuiumiza US. Na US hawezi kujibu mapigo maana sio ardhi yake imeshambuliwa kama Russia alivyokaa kimya maana sio Ardhi yake imepigwaNashangaa Waswahili huku tunatoana jasho bure, huu mpango upo siku nyingi kwenye makabrasha yao wazungu kwamba ili ISRAEL iwe salama pale mashariki ya kati , lazima nchi zote korofi na zenye maraisi radical kuipinga Israel waondolewe,Na Marekani na Israel ziwaweke vibaraka wao.
Nchi hizo ni Misri, Libya, Iraq, Iran , Lebanon na Syria,.
Libya, Iraq na Misri walimalizana nao, na sasa ni zamu ya Syria ,miezi kadhaa ijayo wataanza na Iran mara tu baada ya Asad kutoka. Lebanon hana ubavu sana, sababu anabebwa na Syria na Iran.
Nia kubwa nyuma ya pazia ni Israel asibugudhiwe.
Wewe! Jiangalie....serikali ipo makini na inakuona.Kwa jina la baba na la mwana na roho mtatifu, Amen.
Naomba ipitie magogoni pale
kweli. wameisuka makusudi ili wapate sababu ya kumvamia asaadHii ishu ya Syria wakuu ukiitizama kwa jicho la tatu itakuja kuwa na mwisho mbaya Sana kwani mambo yanavyoenda hata hayaeleweki kabisa tena Kama hii ishu ya chemical gas ya juzi inaonekana Kama imesukwa makusudi kwa lengo mahususi ,vita ya nyuklia inanukia kabixa
Wewe! Jiangalie....serikali ipo makini na inakuona.
Serikali ni watu na watu ni sisi, Serikali ikianza kufatilia vitu vya hivi ujue iko mbioni kufa.Hakuna kitu warusi wamebakia wazee Wa mikwaraa tuu .Wakuu meli ya kivita ya Urusi inaelekea ktk uwanjani wa mapambano
Source Fox news
![]()
tatizo hauko up to date,Unaandika kitu gani mkuu?Ile base ya jeshi ya ndege ya za kivita kurushiwa makombora zaidi ya 50 sio kitu kidogo .Ni uharibifu mkubwa umefanyika dhidi ya majeshi ya Syria.Naona unaandika habari kushabiki zaidi!
Kibabu putin Hana jipya....analeta mkwara wa mende kutingisha kabati... Mimi nilijua hasira zake na yeye atashambulia kumbe anaongeza kiboti chake.... Sasa ajiulize kiboti kama kile chake mmarekani anazo ngapi?Hii vita ya syria inaweza kuchukua miaka hata 50 inabidi kuzoea tu,
kwasasa baada ta Russia kurudisha manowari zake hapo,mmarekani atatulia tena,
laiti kama putin angelegea jana tena tungeshuhudia makombora yakitua syria na regime change ingeanzia hapo,
sasa kina Trump wamepima wakaona putin atakomaa,wameona waishie hapo eti walikuwa wanatuma message tu Assad ajirekebishe.
Wakati yule waziri wa mambo ya nje tayari alishasema ,"Regime change is on,and Assad has no role to play in syria anymore"
Mnachekesha sana....yeye kama ana hasira na yeye ashambulie kwa mnyamweziRaha ya mrusi ndoo hii,mwanaume kaamua kuingiza meli za vita kazini,kama kweli mmarekani mwanaume ajaribu tena kuishamburia,
Hana lolote mkwara tu... Alisema hivi hivi kwa Israel hadi leo kimya.... Kama anataka Russia isomwe kwenye historia ajibu kwa lolote lile ndo atajua Kwanini kobe ana tembea na kalaiJana mwenyewe umeona manowari yalienda,ajari tena aona cha mtema kuni,aache kuvizia,marekani ni muoga tu mbona anashitukiza ,mwanaume asema marekani ikirudia kuishamburia inakutana na majibu sahihi
Hana lolote tumezoa kila siku putin anapiga mkwala tu alianza na Israel sasa anamchezea sharubu tramp....Marekani aliingia syria chini wa mkataba wa 2015 ambapo walikubaliana kuepusha mgongano katika anga la syria. Chini ya makubaliano hayo ni kuwa kila anayeingia anga la syria lazima atoe taarifa kwa mwenzake ili asiruhusu mfumo wake wa ulinzi wa anga kutumika kuepusha mgongano angani! Na ndicho kilichotokea.
Sasa Mrusi ameuvunja mkataba huo na amekata mawasiliano na marekani kuhusu anga la syria. Maana yake ni kuwa kama Marekani atashambulia tena atakutana na mfumo wa ulinzi wa anga wa urusi ukiwa umewashwa! Piga UA Marekani hana ubavu wa kuchezea huo moto!
Kihistoria Marekani huwa hapigi Mara moja tu na kuacha! Lakini kwa syria hana namna hawezi kuuvuka mstari mwekundu uliowekwa na Urusi! Kama alikuwa anapima kina SAA hii keshajua ni MAJI marefu, na atakomea hapo hapo!
Acha fix... Wenyewe Syria wamesema makombora yote yamefanya uharibifu mkubwa wewe wa mbande UnabishanaZile ni Cruise Missiles.. pia kati ya 59 NI 23 zilihit target. Hii imeonyesha ni kiasi gani cruise missiles za US zilivyo weak. Uchunguzi unafanyika kujua hizo 36 zilidondokea wapi.
Zile ni Cruise Missiles.. pia kati ya 59 NI 23 zilihit target. Hii imeonyesha ni kiasi gani cruise missiles za US zilivyo weak. Uchunguzi unafanyika kujua hizo 36 zilidondokea wapi.