Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Useless black man /woman,,,,, useless at all,,,,, i pray to Almighty God to grab your remaining time in this world and give another to another creature, may be a dog would be better so that we can enjoy its presence at home!!! Useless at all..........
I just quoted the Word of God; nothing more, nothing less. Kama unadhani wewe ni bora kuliko wengine au kwamba utamwomba huyo almight god wako afanye hayo unayotaka; utakufa kabla ya hao unaowaombea kifo. Ukiona mtu anaombea wengine kifo huyo ni mpuuzi wa kutupwa!

Kwamba wewe una mkataba na Mungu utaishi milele au? Yale yalikuwa maandiko na maoni yangu binafsi; kimekukera nini? That's what I do believe; ni haki yangu. Wewe endelea na imani yako; kama inafundisha kuombea vifo na matusi hiyo ni imani ya ajabu kutoka mungu wa ajabu. Well, hata nijapokufa leo, ultimately hata wewe kaburi linakusubiri.
 
Samtaimu vita ni mbinu siyo vifaru na nguvu ya pesa
Mbona USA ilifeli vita ya Ghuba na Vietnam?
Vita ipi ya ghuba ilifeli? Kama ni miaka ya 90 mission ilikua kufukuza sadam hussein Kuwait, je alitoka au hakutoka? Someni vitabu kama mlikua hamjazaliwa, mission ilikua sio kumtoa madarakani, hii ya 2003 Bush Jr ndio alisema anamtoa, je yupo wapi sasa hiv?at least uongelee Vietnam,
 
0309e04079d76527fe206260e687ed23.jpg

Nimejifunza umuhimu wa kuweka akiba ya maneno
Anakula matapshi yake sasa
 
Naomba kuuliza hv Vladamir Putin ana maslahi gan nchini Syria?
 
Ngoja nilale asubuhi ntakujibu kuifasaha kwa FACTS za kutosha leo jukwaa la Siasa limenichosha sana.

Ila nakupa Homework: Nenda kachunguze makombora aliyoyatumia US kupiga ile kambi yalikua na kiasi gani cha milipuko na kwanini?!

Asubuhi ntakuletea materials yote ikiwemo videos.
Good night.
We bwana mbona kimya..!?
 
We bwana mbona kimya..!?
Inasemekana kuna bomba la gesi linatakiwa kupita Syria kwenda Ulaya, kumbuka uchumi wa Russia unategemea sana gesi. Na bombs haliwez kupita km Syria ikiwa chin ya Assad, hvyo Putin lzm amlinde kwa nguvu zote sababu km hilo bomba likifanikiwa kupita bhas Russia itakua na hali mbaya sana kiuchumi kutokana na kuharibika kwa biashara yake ya Gas.
 
Vita ipi ya ghuba ilifeli? Kama ni miaka ya 90 mission ilikua kufukuza sadam hussein Kuwait, je alitoka au hakutoka? Someni vitabu kama mlikua hamjazaliwa, mission ilikua sio kumtoa madarakani, hii ya 2003 Bush Jr ndio alisema anamtoa, je yupo wapi sasa hiv?at least uongelee Vietnam,
alikutwa amejificha shimoni kama gadafi, ameota manyoya hadi kwenye ulimi..hahahahaha. sadam kiburi chake ndio alichekesha kuliko majahidina woote.
 
Inasemekana kuna bomba la gesi linatakiwa kupita Syria kwenda Ulaya, kumbuka uchumi wa Russia unategemea sana gesi. Na bombs haliwez kupita km Syria ikiwa chin ya Assad, hvyo Putin lzm amlinde kwa nguvu zote sababu km hilo bomba likifanikiwa kupita bhas Russia itakua na hali mbaya sana kiuchumi kutokana na kuharibika kwa biashara yake ya Gas.
Asante kwa knowledge mkuu..!
 
wafike wapambane sasa, hatutaki kusikia story nyingine, make US keshashambulia bila shaka russia nae anaenda kukidestroy kile chombo kilicholauch yale mashambulizi
Subutuuuu ndo watajua pumbu za marekani ziko wapi weeee watapiga kelele tu hata ndege ya USA hawatasubutu wataangalia kama ya uturuki au Israel Philippines tu hata za UK German France Italy hawatazigusa kitawaka watashambuliwa kila kona
 
Russian Defence Secretary anasema mashambulio hayo dhidi ya small airbase huko Syria haya maana yoyote na hayana faida yoyote kijeshi hasa ukizingatia kuwa hiyo airbase inaweza kuendelea kutumika.
MTU akikuchokoza anaanza hata na kukusukuma kifuani uje sasa usikilizie fundo hilo
 
Na yule Vietnam nae ana uchumi mkubwa kama US...?
Jamaaa vita vya kupigana na watu ni tofauti sana na vita vya wanajeshi kwa wanajeshi Russia Iraq alikimbia hakujua anapigana na Nani coz adui ni kama RAIA tu mpaka wakaamua kutengeneza mabomu kama pipi kijiti watoto wakawa wanafumuliwa vichwa lakini wapi wakakimbia ila USA kakomaaa mpaka Leo anakula wese. Sasa Vietnam marekani iliamua kuacha kutokana na shinikizo la wana nchi wake coz hata ratio za mauaji ni 1:1000
 
Back
Top Bottom