Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Russia Warship has entered the Eastern Mediterranean

Trump ameshafanya linalotakiwa kufanywa na taifa lenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi duniani.......
Trump SAA hii keshakimbiza pua yake fasta! Hatorudia.
Russia says it has formally notified the Pentagon that as of 21:00 GMT on Friday their air forcehotline for Syrian airspace will close down.It also sent a frigate armed with cruise missiles, the Admiral Grigorovich, from the Black Sea to the Eastern Mediterranean on Friday, in what may be a routine move.
 
Haidar Sumeri
@ IraqiSecurity 2m
# Syria's response to Trump. SyAAF Su-22 jet takes off from the Al-Shayrat airfield just hours after the US strike. pic.twitter.com/bKStKTdRcj.



Middle East Eye
@ MiddleEastEye 2h
Jets are already launching raids from the base in Syria that was targeted by the US # SyriaStrikes ow.ly/sKjT30aFIZP pic.twitter.com/fgIiav09uJ
 
Hamna kitu hapo wanacheza na akili za democratic
 
Hivi Assad ana siku nyingi kweli after this?! Cos uongo mbaya kama ni kusumbua 'Wazee Wazima' amewasumbua. Wale wengine washaanza kusahaulika.
Thing is if they were playing diplomacy kumwachia kwa kukosa mwanya, hii inaweza kuwa nafasi kwao and they can take him down sooner than expected.
 
It's not something to be enjoyed unless you don't know its implications! The third world war is around the corner! No country will be exempted! The formula of any world is: "You are either with us or against us"
Neutrality is never accepted!
Hence every country becomes the target! Nothing to be enjoyed!
Your ID says Mbingunikwetu.. Sasa unaogopa kwenda mbinguni??

Au hujayafaidi ya dunia bado? And BTW hakuna WW3 hapo ni hofu yenu tu..
 
Hii issue ya watu wanaokutana faragha na kupanga mbinu za kuihadaa dunia kwa vita za kutengeneza sijui itaisha lini?Yaani Trump ma Puttin wanajifanya hawajuani kumbe lao moja.Only God Knows...
Trump anataka kuua ile nadharia kwamba yeye na Putin ni marafiki na Russia ndio wali rig US Elections.. Hakuna vita hapo
 
Koh koh koh koh koh koh koh
hahahaha Maalim utakohoa sana maana wakomunisti wako kumbe ilikuwa tishia nyau tuu, tomahawks zimepita zote na zikapiga zilipoelekezwa ,zile 400 vipi zilikuwa zimelala? Russia na hivyo vimeli vyake vitazamishwa in seconds akicheza
 
ba3e7716ad88737c2dc6e820e7a05b99.jpg



Oppose, China, Iran, Russia...mpangilio wa Mabestitos?!!

Teh!, yaishe vizuri tu, this Sh!t is real people.
 
Ukiona baba na mama wanapigana fichama uvunguni zisije zile hasira zikahamia kwako Mungu tusaidie giant nation zikichafuka Africa hatuko salama
Ahaa ahaa Africa huko hata balance diet hakuna kwa watu wao wababe wa vita waje kufanya nini. Kutupa chandarua au ARV kipindi cha vita? Africa tunajidanganyaga sana kuwa tunafikiriwa kumbe ni zaidi ya tissue when comes on international affairs
 
Ahaa ahaa Africa huko hata balance diet hakuna kwa watu wao wababe wa vita waje kufanya nini. Kutupa chandarua au ARV kipindi cha vita? Africa tunajidanganyaga sana kuwa tunafikiriwa kumbe ni zaidi ya tissue when comes on international affairs
Hivyo vita havituhusu kabisa sisi masikini wa KUTUPWA
 
Ngoja ajilengeshe atwangwe vilivyo! Dunia nzima kwenye hili inamuunga mkono Trump ispokuwa Russia, labda na china na vile vikorea kask.
Eti vikorea whaat,?? Labda huelewi unachoongea kuhusu hao macho kuvimba,. Labda hao tuachane nao kwanza shughuli yao ni inshu nyingiine kabiisa wala hata haifai kuwaongelea
 
Baada ya Trump kushindwa kuleta machafuko Marekani kama ilivyokuwa imepangwa na Illuminati kwa kutumia Presidential Decrees zake za kijinga chokozi,sasa anajaribu kete nyingine kama pia ilivyopangwa na Illuminati.And that is, confrontation with Russia,ili hatimaye kuleta WW III.Kama atafanikiwa kwa sasa sijui,lets wait and see.Tusisahau kwamba Trump ni senior member of the Illuminati.
Kama Trump ni illuminati basi nafikiri Sizonje ni mzimuinati
 
Operation Regime change imeanzishwa rasmi na Marekani na washirika wake dhidi ya serikali ya Syria na Rais Putin hakubaliani na hilo, shirika la ujasusi CIA imemwingiza Rais Donald Trump kwenye vita bila kutarajia.
Tufanye ibada sana kwani tutegemee tunaelekea kwenye vita vya 3 ya dunia.
Angalieni unafiki wa Marekani mwezi uliopita jeshi la anga la marekani walishambulia mji wa Mosul Iraq na kuua raia zaidi ya 300 lakini hawakuona ni tatizo.
 
Baada ya Trump kushindwa kuleta machafuko Marekani kama ilivyokuwa imepangwa na Illuminati kwa kutumia Presidential Decrees zake za kijinga chokozi,sasa anajaribu kete nyingine kama pia ilivyopangwa na Illuminati.And that is, confrontation with Russia,ili hatimaye kuleta WW III.Kama atafanikiwa kwa sasa sijui,lets wait and see.Tusisahau kwamba Trump ni senior member of the Illuminati.
Haya mambo ya illuminant na freemason ukiyazidisha sana akilini nayo ni shida kwa hiyo kila litakalofanyika utakimbilia huko huko... Itafikia hata mtu akijamba ni illuminant na freemason..
Wakati mwingine ni akili za watu tu ndio zinawatuma kufanya wafanyayo.....
Maana haya mengine ni imani tu tena za siri ili kuzijua ni lazima uwe mwanachama pia
 
Back
Top Bottom