Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela

Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela

hivi shem Erickb52 kwenye ofisi yako ya kuunganisha ndoa huwa unatafutia watu wachumba?
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA nimepata ujumbe kutoka kwa my husband wangu kiwatengu
ile kiwatengu PUB tulifungua kimya kimya ukoo tu unataarifa tuliogopa kutaarifu marafiki
kwani hatuna uwezo wa kutoa vinywaji vya bure siunajua rafiki ukimkaribisha anakaba hadi penalt
mtatufilisi kamtaj kenyewe kakudunduliza
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom