Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela

Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela

..............................
.....................
....................................................
.............................
...........................................hatari...................
 
hivi
DEMBA ndio kusema
Kaizer anakufungia hivi..............

tunajadili ndoa ya nitonye na
Arabela.............

si bora angenifungia ningejua ni wivu wake wa mapenzi tu, yaani tangu zahra white awapandishe chart hawa mashuga dady yaani amekuwa hashikiki. naomba nikuagize mdogo wangu Heaven on earth ukimuona shemejio Kaizer mwambie nampa 24 hrs asipoonekana naingia mtaani kutafuta damu changa.
 
Last edited by a moderator:

Mabwaku DEMBA ina maana Kaizer amekuwa hashikiki kiasi hiki.......kisa ile 20-35 ya Zahra

ujumbe umefika na utafanyiwa kazi damu changa wapo wengi sana
 
..............................
.....................
....................................................
.............................
...........................................hatari...................
Nimekupatia mimi49 wasiliana nae ujue mipango ya ndoa ikoje pls...achana na mahaba maumivu
 
Last edited by a moderator:
si bora angenifungia ningejua ni wivu wake wa mapenzi tu, yaani tangu zahra white awapandishe chart hawa mashuga dady yaani amekuwa hashikiki. naomba nikuagize mdogo wangu Heaven on earth ukimuona shemejio Kaizer mwambie nampa 24 hrs asipoonekana naingia mtaani kutafuta damu changa.

Kwema kweliii ?karudi kwa wa ukweee gfsonwin we ni mshika dau tu ahaaaaaaaaaaa (kicheko cha bichau) achia ngazi bibi mchuma umeondoka huo kupendwa raha mie sina nchencheto Bishanga mwaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
si bora angenifungia ningejua ni wivu wake wa mapenzi tu, yaani tangu zahra white awapandishe chart hawa mashuga dady yaani amekuwa hashikiki. naomba nikuagize mdogo wangu Heaven on earth ukimuona shemejio Kaizer mwambie nampa 24 hrs asipoonekana naingia mtaani kutafuta damu changa.

Mhhhh wifi, mara hiii.

Ukithubutu kukutwaaaa
Kaizer vp tena swaiba?
 
Last edited by a moderator:
..............................
.....................
....................................................
.............................
...........................................hatari...................
zubedayo_mchuzi tumeshafungishwa ndoa ya jadi sijui bwana harusi ulikuwa wapi loh..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom