Halafu hili li mwanamke ( The secretary ) lina maneno machafu yaan kero tupu
yupo yupo..afu nahisi utamu hapa!!
Mtamuua jamani khaaa
utamu wa nini shem? Kama ni sukari gulu basi tugawane aisee
nahisi mpendwa Heaven on earth anaweza nipatia utamu wa kipekee.
Hata ukiweka picha sitaamini ng'o, siku hizi si mnafanya photo editing?
Kawadanganye wajukuu zako nyumbani
Mtamuua jamani khaaa
ni wa nini shem? Au utamu wa Yesu?
nahisi mpendwa Heaven on earth anaweza nipatia utamu wa kipekee.
nahisi mpendwa Heaven on earth anaweza nipatia utamu wa kipekee.