Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela

Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela

Kwema kweliii ?karudi
kwa wa ukweee gfsonwin we ni mshika dau tu
ahaaaaaaaaaaa (kicheko cha bichau) achia ngazi bibi mchuma umeondoka
huo kupendwa raha mie sina nchencheto
Bishanga
mwaaaaaaaaaa

heee heee pole zako. huyo Bishanga mbona na
yeye ni mali ya umma! usijisifie mbele za watu watakucheka shaulilo. kwanza my dada gfsonwin aliniachia Kaizer kiroho safi.
 
Last edited by a moderator:
Mabwaku
DEMBA
ina maana
Kaizer
amekuwa hashikiki kiasi hiki.......kisa ile 20-35 ya Zahra

ujumbe umefika na utafanyiwa kazi damu changa wapo wengi sana

eti anadai tangu zahra atangaze kwamba above 36 wanapiga mzigo vizuri kwa bedi, amekuwa akitafutwa kama lulu na wadada wa mujini.
 
haya yetu macho
kwani wajakazi wakiwa wengi ufa uongezeka............
Hello Chitchat!
Nikiwa kama Mwenyekiti wa mahusiano,ninapenda kuwajulisha kuwa ndoa ya nitonye na Arabela nimeipitisha rasmi kuanzia leo tarehe 14 Sep 2013 hivyo ninawatakia heri katika maisha yao mapya ya ndoa!
Siruhusu tena pingamizi kwa ndoa hii!

Pia namuamuru Bishanga aniandalie List ya couple zote zilizojionyesha wazi na tuzipitie kuona kama zinafaa au bado ziko kwenye probation!
Kila member ahakikishe anapitiwa na hili zoezi ili kuepuka vurugu za kugombea mke au mume! zubedayo_mchuzi naomba uje tumalize ule mpango wetu wa kumchukua mimi49
N.B: Hakuna ndoa wa wake wawili au wanaume wawili..yan hakuna u-mswati!

Nawasilisha!
I remain
Erickb52
Mwenyekiti wa Mahusiano!



Copy Kwa: Bishanga Arushaone watu8 Filipo marejesho Mr Rocky Blaki Womani Cantalisia YNNAH KOKUTONA LiverpoolFC Mtambuzi Smile Mzee Baba V gfsonwin Evelyn Salt Chocs kipipi Nivea Lady doctor ladyfurahia Mentor Judgement Fixed Point snowhite charminglady sweetlady The secretary kiwatengu shansarie Mrembo by Nature Madame B Heaven on earth Slave stevoh Asprin KakaKiiza amu Paloma sosoliso TANMO Preta PakaJimmy Mzee wa Rula Kabakabana mimi49 @remmy Mwanyasi Asprin Kaizer @c6
Special Copy kwa Babu Dark City
 
KOKUTONA nimepata ujumbe kutoka kwa my husband wangu kiwatengu
ile kiwatengu PUB tulifungua kimya kimya ukoo tu unataarifa tuliogopa kutaarifu marafiki
kwani hatuna uwezo wa kutoa vinywaji vya bure siunajua rafiki ukimkaribisha anakaba hadi penalt
mtatufilisi kamtaj kenyewe kakudunduliza

Ha ha ha haaaa..nyie wapare bhana taabu sana.
kiwatengu umeshamharibu wife tayari lool.

Nyie nikaribisheni tu nitajinunulia mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
wiii wangu we acha tu. kakako haonekani

Anatafuta hela, usihofu kabisa.

Asipohangaika modem itajazwa na nini? bata mtakulaje? watoto si watasoma st kayumba?

You are in good hands usije ruka ruka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom