Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Hello Chitchat!
Nikiwa kama Mwenyekiti wa mahusiano,ninapenda kuwajulisha kuwa ndoa ya nitonye na Arabela nimeipitisha rasmi kuanzia leo tarehe 14 Sep 2013 hivyo ninawatakia heri katika maisha yao mapya ya ndoa!
Siruhusu tena pingamizi kwa ndoa hii!

Pia namuamuru Bishanga aniandalie List ya couple zote zilizojionyesha wazi na tuzipitie kuona kama zinafaa au bado ziko kwenye probation!
Kila member ahakikishe anapitiwa na hili zoezi ili kuepuka vurugu za kugombea mke au mume! zubedayo_mchuzi naomba uje tumalize ule mpango wetu wa kumchukua mimi49
N.B: Hakuna ndoa wa wake wawili au wanaume wawili..yan hakuna u-mswati!

Nawasilisha!
I remain
Erickb52
Mwenyekiti wa Mahusiano!



Copy Kwa: Bishanga Arushaone watu8 Filipo marejesho Mr Rocky Blaki Womani Cantalisia YNNAH KOKUTONA LiverpoolFC Mtambuzi Smile Mzee Baba V gfsonwin Evelyn Salt Chocs kipipi Nivea Lady doctor ladyfurahia Mentor Judgement Fixed Point snowhite charminglady sweetlady The secretary kiwatengu shansarie Mrembo by Nature Madame B Heaven on earth Slave stevoh Asprin KakaKiiza amu Paloma sosoliso TANMO Preta PakaJimmy Mzee wa Rula Kabakabana mimi49 @remmy Mwanyasi Asprin Kaizer @c6
Special Copy kwa Babu Dark City
 
na ile ndoa yangu ndio umeikatalia ili niendelee kukaa hapa nyumbani nikufutie tu viatu kaka yangu?????
No ni wewe kuniambia unataka kuolewa na nani maana nawewe sister siku hizi hata sijui wako wangapi
 
Ina maana yale mapinduzi ya Baba V yalifanikiwa???.

Anyway:
Kabla ya ndoa naomba Arabela anilipe bia zangu. Nilimpiga pombe akanitoroka kabla ya kunilipa Fadhila.
Hahahaaa hiloatalifanya bila shaka we usijali naakishindwa basi nitonye atamsaidia
 
Last edited by a moderator:
Na mimi nasubiri kusikia kutoka kwa Baba V kwanza!
Nyie mnacheza kweli....mnataka kuturudisha Misri?
Watu tuko Digitali long time....kusikia nimeachia hiki kiti ni ndoto....sahauni na msijaribu kunigusa tena hasa wewe Filipo maana naiheshimu sana Ndoa yako
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom