Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Hivi huna hata asante eeh nitafura kauli ooh
Natania mwaya mwaaaah
mwaah my dia
Hivi huna hata asante eeh nitafura kauli ooh
Natania mwaya mwaaaah
Chocs anajua kuwa wako wawili!!!!!!!!Mie wawili hawanipi shida hata kidogo Heaven on earth
mwaah my dia
wakati Lady doctor ndio mwalim wa walimu
Shem mbona kila siku Rejao yuko kwenye vikao vya CCM tu? Hivi hata ile kitu katikati anakulaga kweli Cantalisia ?
Anajifanya hafanyagi matusi?
Achana naeeeeee
wakati Lady doctor ndio mwalim wa walimu
Hahahahaaa tangu enzi za mwalimu lol
teh teh teh! ujue KOKUTONA akifika itakuwa raha tupu. karibu! karibu my dear pal
acha umbea kudadeki zako....
unakaribishwa na wewe leo.