Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,760
- 14,005
best mambo? kwani hapa mnafanya nini?
Last edited by a moderator:
best mambo? kwani hapa mnafanya nini?
ahsante my dada. You are the best
Halafu hili li mwanamke ( The secretary ) lina maneno machafu yaan kero tupu
Pole ya nini kwa my mdogo?
Nitakununia.....!
me penda wewe sana wii wangu...kaka nitamshauri kuhusu avatar yake abadili tu
hiyo mwaaaaaaah ni ya kupitishiwa tu ndoa au kuna mengine........na My dia juu Kha!!!!
Nisha mpa vyake....naamini hatakurupuka kujisemea tena.
Ndio zake we endelea kukataa tu.....