dooooh!!! majukumu ya kazi yametutenganisha mpaka nasahau kama nina mke.Hahahahaaa
hivi Evelyn Salt ni mke wa nani vile?
Slave kuna tatizo mahali........hivi unawezaje kusahau kama una mkedooooh!!! majukumu ya kazi yametutenganisha mpaka nasahau kama nina mke.
Hahahahaa ninako aisee kaa tayari kurushiwa
KOKUTONA hujambo!!!!!!!!Hata ukiweka picha sitaamini ng'o, siku hizi si mnafanya photo editing?
Kawadanganye wajukuu zako nyumbani
sijambo dada yangu,umepata mume ???
dooooh!!! majukumu ya kazi yametutenganisha mpaka nasahau kama nina mke.