Ruhazwe Jr anatafutwa

Ruhazwe Jr anatafutwa

Kwa taarifa nilizopo ni kwamba Ruhazwe JR anaumwa na amelazwa hospital. Jana alikua ametundikiwa drip. Ukweli ni kwamba ndugu yetu Jr anaumwa tena sana. Ukiona mwanaume amelazwa jua huyo anaumwa kweli. So washindi na washiriki wote nawaomba muwe na moyo wa uvumilivu na tumuombee apone haraka ili aendelee na shughuli zake za ujenzi wa taifa.
cc. watu 8, mtoto wa watu Arabela, Madame B, Invisible, charminglady, Nicas Mtei n.k. mia

Dah! kumbe jamaa kalazwa! tumtake radhi waungwana.

get_well_soon_2.jpg
Ruhazwe JR
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahah
nasikitika sana kwa kitendo cha Ruhazwe JR kukimbia na zawadi za wawakilishi hii inatupa picha watanzania hatutakiwi kuwasema ovyo mafisadi wala rushwa kwa kuwa ukitaka kujua tabia za wananchi waangalie viongozi wao na hili limedhihirika wazi kwa ndugu yetu kumbe yeye ni kafisadi kadogo kanakosubiri kapewe mamlaka ali aweze kukua.
Copy kwa Baba V
 
Last edited by a moderator:
kazi ipo na wazamini wote wale kweli mbongo mbongo tu hata akae wapi..
 
kitalolo Nipo ndani ya nyumba nasubiri tu pepo aanze kuwapigeni makofi ndipo niingize upako wangu
Aminia Bujibuji usisubirie wapigwe bana wasaidie mapema.
Rejea Matendo ya Mitume 19:13 unasema kuwa baaadhi ya Wayaudi wenye kutangatanga , nao ni wapunga pepo wakajaribu kutaja jina la Bwana Yesu juu yao waliopagawa na pepo wachafu, wakisema," Nawaapisha kwa Yesu, yule anayeubiriwa na Paulo.
Na anaendelea kusema katika mstari wa 14 Walikuwako wana sabawa mtu mmoja skewa, myahudi, kuhani mkuu , waliofanya hivyo
katika mstari wa 15 anamalizia kwa kusema yule pepo mchafu akawajibu , akawaambia " Yesu namjua na Paulo namfahamu , lakini wewe Bujibuji ni nani?"
 
Last edited by a moderator:
Hizi taarifa ni confirmed au ni mambo ya Chitchat....???

jamaa anaumwa. leo nmeongea naye, anaendelea vizuri kidogo japo bado amelala. amesema kama atapata nguvu leo anaweza kutoa updates. Hili linaweza thibitishwa na wadogo zake waliomo humu jf japo naona hamna hata mmoja aloingia leo.
So tuwe wavumilivu.
cc. charminglady, Madame B , Arabela, Nicas Mtei, Arushaone, Baba V, etc. mia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom