Ruhazwe Jr anatafutwa

Ruhazwe Jr anatafutwa

Mi nilimwona siku 1 anatoka chumbani kwa Cl kwenye hotel walofikia na kuweka kambi na nilijua haya yatatokea.
Atakuja nimemtumia matete kuwanga ya Mia 7 ikfka saa 8 mchana hajaja imekula kwake.
 
Nae Mshiriki mwenzetu charminglady kama yuko na anko Lundenga si atuambie tu,
Mimi na Arabela tuko radhi kusamehe zawadi zetu!!!!!!!!!!!!!!
couple.jpg

My wf yahakuwa hayo.... mbona wote tushatoka povu sana kule kwenye Sticky??????
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa nilizopo ni kwamba Ruhazwe JR anaumwa na amelazwa hospital. Jana alikua ametundikiwa drip. Ukweli ni kwamba ndugu yetu Jr anaumwa tena sana. Ukiona mwanaume amelazwa jua huyo anaumwa kweli. So washindi na washiriki wote nawaomba muwe na moyo wa uvumilivu na tumuombee apone haraka ili aendelee na shughuli zake za ujenzi wa taifa.
cc. watu 8, mtoto wa watu Arabela, Madame B, Invisible, charminglady, Nicas Mtei n.k. mia

Asante kwa taarifa mkuu..... Make humu kilichokuwa kinafatia ni ngumi na vitu vyenye ncha kali kuanza kazi!!!
 
Last edited by a moderator:
kitalolo Nipo ndani ya nyumba nasubiri tu pepo aanze kuwapigeni makofi ndipo niingize upako wangu

Hahah mkuu angalia pepo huyu anaweza kuanza rusha vitu vyenye ncha kali mno badala ya makofi....
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa .................... asante charminglady, nimeshindwa kweli lakini kwa jina lako! babako watu8 ametoa maelezo japo sijaridhika bado, manake kuna PM imepita hapa kuwa mlikuwa hoteli flani, mwingine kanambia hata sasa unabrowse uko pamoja na Ruhazwe JR ....................... fafanua hapo

figganigga ashatoa ufafanuzi!!!!

Get well soon Ruhazwe JR.......
 
Last edited by a moderator:
Heheheiya.... Umenifanyanisha jamani.. Mie ni wa kuwasaliti ninyi????? Please ntake radhi kabla sijazihamishia hasira kwa kakako.......

Yaani UBAVU HUO HUNA Wifi, eti uzihamishie hasira kwakeeeeeeeeeeee.............!!!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuuuuuuuu
Unacheza wewe, Hapo ulipo Umekufa, Umeoza..................Chezea Mapenzi ya Mtu na Hisia zake wewe.

Afu Ole wako umzuie asije kwenye White Party, Utajutaaaaaa
 
Yaani UBAVU HUO HUNA Wifi, eti uzihamishie hasira kwakeeeeeeeeeeee.............!!!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuuuuuuuu
Unacheza wewe, Hapo ulipo Umekufa, Umeoza..................Chezea Mapenzi ya Mtu na Hisia zake wewe.

Afu Ole wako umzuie asije kwenye White Party, Utajutaaaaaa

Speechless!!!!!!!!!!!!!!!
 
Salama Salmin Amour daddy.... Umeziona hizo taarifa za kuugua kwa Ruhazwe JR?????

Ndio naziona ila sina imani nazo mpaka athibitishe ye mwenyewe....najua simu yake inaingia JF bila matata..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom