Ruhazwe Jr anatafutwa

Ruhazwe Jr anatafutwa

Na wewe mwanamke unajifanya ulisahau kuwa uliandika hivi....



Ili ku-support haya maneno ya CL...


Baada ya mumeo kimeo kusema hivi.....

Nawe Babamtu yaelekea ushapewa Pesa na 'Anko, Haiwezekani utetee hivo.
Mwanao si anasema ili kutuchota akili.......!!!!!!!!!!!!
 
Kwa taarifa nilizopo ni kwamba Ruhazwe JR anaumwa na amelazwa hospital. Jana alikua ametundikiwa drip. Ukweli ni kwamba ndugu yetu Jr anaumwa tena sana. Ukiona mwanaume amelazwa jua huyo anaumwa kweli. So washindi na washiriki wote nawaomba muwe na moyo wa uvumilivu na tumuombee apone haraka ili aendelee na shughuli zake za ujenzi wa taifa.
cc. watu 8, mtoto wa watu Arabela, Madame B, Invisible, charminglady, Nicas Mtei n.k. mia
 
Last edited by a moderator:


good-morning.-its-friday_845.gif
manoah kaka.
 
Last edited by a moderator:
hivi unajua kuwa ngumi ya kulia inauma zaidi ya ngumi ya kushoto, lakini ngumi ya kushoto ndio huwatoa sana manundu mabondia wengi....sasa chagua mwenyewe unataka niRIP na ngumi ipi maana hiyo ni kashfa kwa mteja na mwanangu CL...

Daddy... inabidi tuwafungulie mashtaka wale wote wanaonichafulia jina pamoja na muandaaji wa Shindano Ruhazwe JR....

Our family lawyer upo wapi Ruttashobolwa... tunakuhitaji sana!!!
 
Last edited by a moderator:
Mungi shindwaaaaaa.... tena shindwq kwa jina lako mwenyewe.... Ningekuwa na lundenga JF nisingekuwepo km yeye ambavyo hayupo!!!!!

Hahahaaaaaaa .................... asante charminglady, nimeshindwa kweli lakini kwa jina lako! babako watu8 ametoa maelezo japo sijaridhika bado, manake kuna PM imepita hapa kuwa mlikuwa hoteli flani, mwingine kanambia hata sasa unabrowse uko pamoja na Ruhazwe JR ....................... fafanua hapo
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa nilizopo ni kwamba Ruhazwe JR anaumwa na amelazwa hospital. Jana alikua ametundikiwa drip. Ukweli ni kwamba ndugu yetu Jr anaumwa tena sana. Ukiona mwanaume amelazwa jua huyo anaumwa kweli. So washindi na washiriki wote nawaomba muwe na moyo wa uvumilivu na tumuombee apone haraka ili aendelee na shughuli zake za ujenzi wa taifa.
cc. watu 8, mtoto wa watu Arabela, Madame B, Invisible, charminglady, Nicas Mtei n.k. mia

Niliwahi kuwaambia washiriki wawe wapole maana siamini kama muandaaji kwa jinsi alivyokuwa akijibainisha atakuwa msanii kihivyo. haswa ikizingatiwa na kiasi cha fedha alichokusanya sinyani kama kinaweza kumshawishi kujidhalilisha kiasi hicho tuamini tu kwamba anatatizo na kwa mara ya mwisho alisema anatumia simu yuko mbali na kalaptop ndio maana hakuweza kuweka update kwa haraka kuhusu mchakato mzima na kwasasa hata simu yake haiko hewani hivyo tuwe na subira.
Nilijifunza wakati mmoja nilikuwa namlaumu jamaa yangu kuwa kakata mawasiliano wakati tukiwa kwenye shughuli fulani mihimu sana na nilimlaumu sana na kumuona tapeli kumbe jaama alipata ajali na kufariki na walimuibia simu wakatupa line yake badae nilianza kujilaumu mwenyewe.
Tuvuteni subra
 
Last edited by a moderator:
Kwa taarifa nilizopo ni kwamba Ruhazwe JR anaumwa na amelazwa hospital. Jana alikua ametundikiwa drip. Ukweli ni kwamba ndugu yetu Jr anaumwa tena sana. Ukiona mwanaume amelazwa jua huyo anaumwa kweli. So washindi na washiriki wote nawaomba muwe na moyo wa uvumilivu na tumuombee apone haraka ili aendelee na shughuli zake za ujenzi wa taifa.
cc. watu 8, mtoto wa watu Arabela, Madame B, Invisible, charminglady, Nicas Mtei n.k. mia

This is new, get well soon Ruhazwe JR
 
Last edited by a moderator:
Nawe Babamtu yaelekea ushapewa Pesa na 'Anko, Haiwezekani utetee hivo.
Mwanao si anasema ili kutuchota akili.......!!!!!!!!!!!!

Yako maneno yakikuisha utakaa kimyaaa kama mtungi katani...
 
Kwa taarifa nilizopo ni kwamba Ruhazwe JR anaumwa na amelazwa hospital. Jana alikua ametundikiwa drip. Ukweli ni kwamba ndugu yetu Jr anaumwa tena sana. Ukiona mwanaume amelazwa jua huyo anaumwa kweli. So washindi na washiriki wote nawaomba muwe na moyo wa uvumilivu na tumuombee apone haraka ili aendelee na shughuli zake za ujenzi wa taifa.
cc. watu 8, mtoto wa watu Arabela, Madame B, Invisible, charminglady, Nicas Mtei n.k. mia

Hizi taarifa ni confirmed au ni mambo ya Chitchat....???
 
Last edited by a moderator:
Daddy... inabidi tuwafungulie mashtaka wale wote wanaonichafulia jina pamoja na muandaaji wa Shindano Ruhazwe JR....

Our family lawyer upo wapi Ruttashobolwa... tunakuhitaji sana!!!

Hawa wanastahili kupelekwa mbele ya Pilato....maneno mengi ushahidi hawana, nimewashushia ushahidi hapo juu wanaanza visingizio...
Hawana nyimbo hawa dawa yao ni kuwafungia vioo tu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa .................... asante charminglady, nimeshindwa kweli lakini kwa jina lako! babako watu8 ametoa maelezo japo sijaridhika bado, manake kuna PM imepita hapa kuwa mlikuwa hoteli flani, mwingine kanambia hata sasa unabrowse uko pamoja na Ruhazwe JR ....................... fafanua hapo

Hahaha unakimbilia kuweka neno PM kwa kuwa unajua it stands to be a private business kati ya mtu na mtu....
Sasa nakuomba uweke picha na sauti....
 
Last edited by a moderator:
Hahaha unakimbilia kuweka neno PM kwa kuwa unajua it stands to be a private business kati ya mtu na mtu....
Sasa nakuomba uweke picha na sauti....

PM haina sauti we baba charminglady namna gani?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom