measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,420
Huyu Husninyo yaani na mtoto wa dadake babake shangazi yake wifi yake bibi yake na babu yetu.... tuna undugu wa kugundisha na big G, Alianza kuja na gia ya kutaka kupindua ndoa yangu na mume wangu kipenzi watu8, alipoenda kijijini huko akasikia sisi ni ndugu, amukuja kututembelea na mpendwa ladyfurahia ametoa somo ambalo limemuingia sana na sasa amekaribishwa kwenye familia....Welcome Husninyo... mwanangu charminglady ilikuwa nikueleze haya nijapo huko kwa kirefu zaidi...
Last edited by a moderator: