Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Muandaaji wa shindano la miss chitchat anatafutwa kwa udi na uvumba. Tokea shindano hlo limekwisha mshindi amekwishapatikana lakini hatujatangaziwa kuhusu utaratubu mzima wa zawadi kiasi kwamba kila mtu amepatwa na sintofahamu.......... Popote alipo anaombwa ajitokeze................