CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,102
- 41,383
Namkumbuka Tibaigana na Abdalah Zombe ni wavutaji wazuri sana kitu cha Arusha.Maaskari ambao hawavuti ni wachche sana... Hii kazi ya Polisi ina stress sana.. Lazima uvute.
Namkumbuka Tibaigana na Abdalah Zombe ni wavutaji wazuri sana kitu cha Arusha.Maaskari ambao hawavuti ni wachche sana... Hii kazi ya Polisi ina stress sana.. Lazima uvute.
R.I.P SACP Richard AbwaoHapa Duniani tunapita.. Tusivimbe kwa kiburi na tusiache kutenda Mema..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao atakumbukwa.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Jijini Dar es salaam wakati akipatiwa matibabu.
Akizungumza na AyoTV, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema “Ni kweli aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.”
DCP Misime ameongeza kuwa taratibu nyingine zinazohusiana na msiba huo zitatangazwa baadaye.
View attachment 3611780
"Ccm hatuachiani maji" by JK.......habari za uhakika alipewa sumu amehangaika sana India na kwingineko.....tuanzie hapo nani aliempa sumu na kwa nini ??
Kifo ni kitu kibaya sana, Ndugu zangu kuuwa watu wasio na hatia wenye maisha mbele ni mbaya zaidi. Sifurahi kifo cha mtu kwa sababu kila nafsi itaonja mauti, lakini hata mkiua, mtaua, mtateka kama mnavyofanya. Samia pia kuna siku atakufa kwa sababu kila mmoja wetu atakuwa na siku yake. Cha msingi tuishi kwa haki, msionee (WANANCHI) bure watanganyika wasio na hatia. Siku moja tutahukumiwa kwa tulichokifanya........ Ni suala la muda tu. Iddi Amin alikufa, Mkapa, Ali Hassan Mwinyi, Nyerere, Magufuli.....Kila mtu. Tendeni wema......Mtajibu mlichofanya.Hapa Duniani tunapita.. Tusivimbe kwa kiburi na tusiache kutenda Mema..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao atakumbukwa.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Jijini Dar es salaam wakati akipatiwa matibabu.
Akizungumza na AyoTV, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema “Ni kweli aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.”
DCP Misime ameongeza kuwa taratibu nyingine zinazohusiana na msiba huo zitatangazwa baadaye.
View attachment 3611780
Samia anajiona ni immortal ndiyo maana anakejeli watu wanaouwawa na askari wakeKifo ni kitu kibaya sana, Ndugu zangu kuuwa watu wasio na hatia wenye maisha mbele ni mbaya zaidi. Sifurahi kifo cha mtu kwa sababu kila nafsi itaonja mauti, lakini hata mkiua, mtaua, mtateka kama mnavyofanya. Samia pia kuna siku atakufa kwa sababu kila mmoja wetu atakuwa na siku yake. Cha msingi tuishi kwa haki, msionee (WANANCHI) bure watanganyika wasio na hatia. Siku moja tutahukumiwa kwa tulichokifanya........ Ni suala la muda tu. Iddi Amin alikufa, Mkapa, Ali Hassan Mwinyi, Nyerere, Magufuli.....Kila mtu. Tendeni wema......Mtajibu mlichofanya.
RpC ni ccm ??"Ccm hatuachiani maji" by JK
Unafikiri askari wa rank yake atakosa kuwa kada wa mbogamboga? Watu wanapoita polisiccm wanamaanisha.RpC ni ccm ??
Tibaigana Embassy tu.Namkumbuka Tibaigana na Abdalah Zombe ni wavutaji wazuri sana kitu cha Arusha.
Dawa anatumia kimtindo mwanangu mmoja ndiye alikuwa pusher wake.A
Tibaigana Embassy tu.
Hatuna Yesu wa hiviMakofi mengi kwa Yesuuuuu
Ok Sir.Dawa anatumia kimtindo mwanangu mmoja ndiye alikuwa pusher wake.
Siku hizi inaitwa mpepeNamkumbuka Tibaigana na Abdalah Zombe ni wavutaji wazuri sana kitu cha Arusha.