CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,102
- 41,384
Huyu hatakiwi kufa bali anatakiwa kuuwawa tena kwa mateso makali unakata kiungo kimoja kimoja .MAFWELE kwanini hafi
Huyu hatakiwi kufa bali anatakiwa kuuwawa tena kwa mateso makali unakata kiungo kimoja kimoja .MAFWELE kwanini hafi
Kuhuzinika baada kifo cha binadamu mwenzako sio kukosoa utaratibu aliouweka Aliyeumba.Kwa hiyo unataka kusema aliyeweka kifo alikosea sio?
Yes ameishi sana MorogoroHawa si walikuwa wanakaa misufini pale Moro yeye na yule dada yake M.
NoRIP:
An undugu na Chiku Abwao?
Huyu kamanda alikua mtu mwema sana na hakupenda makuu kabisa. Kuna mengi tulikua tukiongea kila nikifika mkoa wa akinaKalundeHakuna Mtu anaweza akapendwa na Kila anayekutana naye katika maisha. Police wema wapo na wa hovyo pia.
Namfahamu miye nimesoma na yule dada yake M wa P alikuwa pale ........Yes ameishi sana Morogoro
Tunaomba mwenye clip zake akojitutumua kutafuta mapenzi na serikali haramu watuletee hapa ili tujue tuna muagajeHapa Duniani tunapita.. Tusivimbe kwa kiburi na tusiache kutenda Mema..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao atakumbukwa.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Jijini Dar es salaam wakati akipatiwa matibabu.
Akizungumza na AyoTV, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema “Ni kweli aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.”
DCP Misime ameongeza kuwa taratibu nyingine zinazohusiana na msiba huo zitatangazwa baadaye.
Alikuwa mpole, sikutegemea km atakuwa polisi huenda ajiraHuyu kamanda alikua mtu mwema sana na hakupenda makuu kabisa. Kuna mengi tulikua tukiongea kila nikifika kwa akinaKalunde
Nashukuru kwa hili huenda nitamuaga vizuri ngoja nipate ushuhuda mwingine wa matendo yakeHuyu kamanda alikua mtu mwema sana na hakupenda makuu kabisa. Kuna mengi tulikua tukiongea kila nikifika kwa akinaKalunde
Sikupendi kabisa wewe jamaa wewe. I hate you so much. Ulichonifanyia utalipia tu. Trust me. Usipolipia wewe, atalipia mtoto wako. SITANII MIMI.Huyu kamanda alikua mtu mwema sana na hakupenda makuu kabisa. Kuna mengi tulikua tukiongea kila nikifika mkoa wa akinaKalunde
Haiwezekani. Huyu angeweza kuwa mume wa Chiku.Nini kimemuuwa huyu bwana mdogo.
Je ni mtoto wa yule aliyekua mbunge wa iringa mjini miaka Ile (vitu maalumu) Chiku Abwao?
Alikufanyaje?Sikupendi kabisa wewe jamaa wewe. I hate you so much. Ulichonifanyia utalipia tu. Trust me. Usipolipia wewe, atalipia mtoto wako. SITANII MIMI.
Ndugu zetu wameuliwa kwa maelfu, unategemea wauaji nao wakifa tusishangilie?Hv kweli mtu anafurahia kifo cha binadamu mwenzake ...hii dunia imefikia level ya chuki ya hatari sana
It's a very very very very long story my friend.Alikufanyaje?
Tafadhali rafiki tueleze ili tumjue huyu mtuIt's a very very very very long story my friend.