TANZIA RPC wa TABORA ACP Richard Abwao afariki dunia

Hapa Duniani tunapita.. Tusivimbe kwa kiburi na tusiache kutenda Mema..

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao atakumbukwa.

=====

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Jijini Dar es salaam wakati akipatiwa matibabu.

Akizungumza na AyoTV, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema “Ni kweli aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.”

DCP Misime ameongeza kuwa taratibu nyingine zinazohusiana na msiba huo zitatangazwa baadaye.
View attachment 3611780
Huo mdomo anaonyesha alikuwa mtumiaji mwenzetu.
Rip
 
Jamaa naye mapenzi yalimnyoosha hatari inadaiwa aliwahi kumfumania mke wake live akipelekewa moto ila kwa moyo wa chuma jamaa hakufanya kitu akasepa zake.
Haya magonjwa yapo. Watu waheshimu ndoa zao.. Sasa kabaki mjane.. Na sasa kupata mume itakuwa tabu sana.. Watamuogopa kama ukoma. Labda aipeleke Malawi ndani ndani🤣
 
Hapa Duniani tunapita.. Tusivimbe kwa kiburi na tusiache kutenda Mema..

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao atakumbukwa.

=====

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Jijini Dar es salaam wakati akipatiwa matibabu.

Akizungumza na AyoTV, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema “Ni kweli aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.”

DCP Misime ameongeza kuwa taratibu nyingine zinazohusiana na msiba huo zitatangazwa baadaye.
View attachment 3611780
Asante kwa Taarifa
 
Kifo ni kifo tu alinena bibi wa Kizimkazi.
 
Je hakupewa kujumu pale oct 29?
 
Kama alitendauovu na hicho cheo chake bila shaka kuna vita kali alikotangulia huko.
Yule jamaa anayetajwa sana na utekaji na upotezaji watu siku akifa sijui itakuaje??
 
Back
Top Bottom