Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 13,040
- 26,138
Wangeficha, maana insta vijana wamechafukwa
Hawawezi kuficha kifo; wanaficha maradhi sio kifo mkuu. Huwezi kuficha HAKUNA.
Wangeficha, maana insta vijana wamechafukwa
Atoke sasa kwenye jeneza tuone ubabe wake
.......habari za uhakika alipewa sumu amehangaika sana India na kwingineko.....tuanzie hapo nani aliempa sumu na kwa nini ??Hapa Duniani tunapita.. Tusiache kutenda Mema..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao atakumbukwa
================
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Jijini Dar es salaam wakati akipatiwa matibabu.
Akizungumza na AyoTV, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema “Ni kweli aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.”
DCP Misime ameongeza kuwa taratibu nyingine zinazohusiana na msiba huo zitatangazwa baadaye.
View attachment 3611780
Nani amemuidhinishia? Sasa itakuwaje.Hapa Duniani tunapita.. Tusiache kutenda Mema..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao atakumbukwa
================
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Jijini Dar es salaam wakati akipatiwa matibabu.
Akizungumza na AyoTV, Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema “Ni kweli aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.”
DCP Misime ameongeza kuwa taratibu nyingine zinazohusiana na msiba huo zitatangazwa baadaye.
View attachment 3611780
Duong' odok ne Nyasaye...Du! Ruoth omi duong`....
Kwani we mkewe mpaka kujua hayoHuyu alikuwa mzalendo sana.huyu ni baadhi ya polisi wasio na makandokando.Apumzike kwa amani mzalendo.amejihusisha sana na matendo mema kwa jamii inayomzunguka.
Wakimaliza kwetu,.watakuja kwenu ( Tundu lisu, 2018)........habari za uhakika alipewa sumu amehangaika sana India na kwingineko.....tuanzie hapo nani aliempa sumu na kwa nini ??
Polisi tunaishi nao kwenye jamii.Siyo kila polis ni katili.Kwani we mkewe mpaka kujua p
Good riddance!Hapa Duniani tunapita.. Tusiache kutenda Mema..